Unasema kitu kulingana na form uliyonayo hii haina ubishi kwa hizi mechi tatu tumekuwa na form mbaya hasa baada ya kuwakosa wachezaji wetu muhimu. Japo hakuna shabiki wa mpira anapenda kuona timu yake ikiwa kwenye form lkn haiondoi uhalisia wa football