by the way huyo refa si ndio alimtoa fletcher kwenye semi ya uefa dhidi ya arsenal?
mimi nina DNA ya white hart lane bana, spurs forever. hawa jamaa ni wagomvi wangu wa jadi.
barca ni chama langu la whole europe so leo fulu mafuraha. yaani kwa mara ya kwanza leo wallet langu waifu atalifanya anavyotaka
Pole mkuu maana barca wamenifurahisha sana 3-1 kama yaliyotokea anfield kipimo kilekile.Haya tusubiri hiyo FA itakua vipi.
hawana lolote mpaka wabebwe kwa mbeleko ya chuma ndio wawatoe the guners,watakutana robo na chelsea lazma wang'oke kenge hawa.Sorry mkuu mwaka jana hivi ilikuwa ngapi???hahaha tuseme tu Barca hamuwawezi mkuuu hao ni kiboko wa world
asante mkuu, FA ndio sehemu ya ku-bounce back hapo na nategemea Wenger kwenda full squad.
ha ha ha. wallet liko full. hiyo manu bora ungependelea yanga tu. usitafute marazi ya kisukari , babu wa loliondo wenyewe siku sita ndio unafika.ooh Spurs for life siyo!..basi leo umepata la kuwaambia gunners, inauma ila ndio imeshatoka hiyoo!!
Barca nawafeel pia ila Maure damu(japo presha haziishagi hapa)..hiyo wallet mpe waif ukiwa inaita siyo umejaza bizness kadi mpaka imetuna ha ha...
hawana lolote mpaka wabebwe kwa mbeleko ya chuma ndio wawatoe the guners,watakutana robo na chelsea lazma wang'oke kenge hawa.
Lazima tuwafanye vibaya hawa MANU ili kumalizia hasira zetu kwao. BJ upo? LOL!
heheh mkuu wengine wameondoka bila kuaga, halaf kesho watasema tanesco ndio imesababisha wasiwahi kuaga. dah!Naona wenye nyumba leo wameenda kulala wamesusa kutupa kampani wageni.....jamani uchoyo huo na wala sio vizuri ilibidi mtupe kampani wageni mpaka tujisikie kuondoka......hahha
Watani
Poleni sana. Usiku huu mna hasira sana. Nitaongea kesho.
Alamsiki.
BTW naomba muwasiliane na mfarisayo kwa ajili ya kuchukua Maturubai ya matanga, pamoja na viti, mbaki navyo, as jumamosi mtahitaji tena.:hand:
Sorry mkuu mwaka jana hivi ilikuwa ngapi???hahaha tuseme tu Barca hamuwawezi mkuuu hao ni kiboko wa world
Duuu mkuu pole pole hiyo kesho kutwa jumamosi lazima tuwatandike nyingine 2 mwaka huu mtatoka kila mahali.......
mwaga mapicha mkuu. acha niyasave kwenye memory stickThings get heated at the Camp Nou