Arsenal tunachukiwa na kila timu, Arsenal ni lijitu flani hivi likubwaaaa sleeping giant wanaogopa likiamka itakuaje, anachukiwa Mikel Arteta sababu anataka kuliamsha hili dude
unabisha huna chuki na umeacha mambo yako uje kubishana ishu za Arsenal humu, mind your bzness yaani fuatilia timu yako. Mambo ya kushindanisha timu watu wazima tushaacha tunaangalia mpira kama Entertainment. Huo ushamba mmebaki nao Cheltako. Yaani Chelsea apoteze game nije kupigizana kelele kisa kafungwa, nimekosa kazi ?