Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Hio hio bahati ndio ukomavu mzee ...mbona unakaza ubongo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hakuna ukomavu mlio uonesha Wala ukamavu wowote mlionao kwenye UCL.Kilicho wabeba ni bahati tu.
Kumbuka city mpaka Ft Hana short on target hata Moja.
Goodlucky![emoji16]Hio hio bahati ndio ukomavu mzee ...mbona unakaza ubongo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Munaingia lakini hammalizi.Faida yake nini?Ninachojua top 4 tunaingia
Save it
#COYG
Wewe una sebure humu jf ,hata chumba tu huna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo ya kujadili Shit FC mala Chel$ea, fools na Manyua hapa kwenye jukwaa letu libaleta kinyaa, kwani jukwaa lao limekosa watu wa kuendesha mijadala hadi waje kutupigia kelele sebuleni kwetu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua TaimuWewe una sebure humu jf ,hata chumba tu huna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio nafasi ya 3 Tena?Ninachojua top 4 tunaingia
Save it
#COYG
Check game ya Spurs saivi na game zote za EPL online,Mb zako tu.Haina haja ya App.Maana Heasgoal wamebana.
Another chance for us again for the top fourBrighton Goooooooool
yaaaap lacazette hayupo kbsa kaanza nketiahLeo tena tunatupa karata nyingine bila baadhi ya wachezaji wetu muhimu Partey, Tierney na Tomiyasu na kwa taarifa ya jana Lacazette hakuwepo mazoezini kwasababu ya mambo binafsi na hakukua na uhakika kama leo atakuwepo kikosini au la.
Arteta alisema kwamba ukipoteza mechi basi mechi inayofuata inakuwa ngumu zaidi. Je tutegemee mechi ya leo kuwa ngumu kama mechi mbili zilizopita?
Naamini leo tunaweza kupata matokeo japo mechi inaweza kuwa ngumu. Ngoja tusubili selection ya kikosi cha leo
Hawazi mbele.Next 3 games Arsenal vs Chelsea Manchester United and West Ham unataka tujitoe akili timamu?