Issue sio muda mkuu, muda inategemea na unachokifanya(performance) kulingana na matarajio ya unachokitegemea na kuwambia maboss wako. So km maboss wataona maendeleo yako hayaendani na matarajio kwa muda uliopewa itakuwa haina maana kukuacha mpaka umalize muda wako maana unaweza kufikia pabaya zaidi.Inshu kubwa inayo zungumziwa ni kuwa alipewa muda mdogo sana kitu kama msimu MMOJA tuu sidhani kama aliifikisha misimu miwili akatumiliwa Kwa Maneno hayo ya fitina.
[emoji16] basi lugha ilichangia Kwa Yote hayo KUTOKEA ndani ya Arsenal.Issue sio muda mkuu, muda inategemea na unachokifanya(performance) kulingana na matarajio ya unachokitegemea na kuwambia maboss wako. So km maboss wataona maendeleo yako hayaendani na matarajio kwa muda uliopewa itakuwa haina maana kukuacha mpaka umalize muda wako maana unaweza kufikia pabaya zaidi.
Unai alikaa musimu mmoja na nusu hakufanya chochote zaidi ya kucheza fainali ya Europa. Mwishoni na mwanzoni mwa musimu timu ilikuwa na mwenendo mbaya kuanzia kucheza mpaka kupata matokeo na ilifikia mpaka kusema hana mahusiano mazuri na wachezaji pia mawasiliano yake na wachezaji hayakueleweka vzr kwa wachezaji kutokana na kutokujua Lugha ya kingereza
[emoji16][emoji16]Kuna mtu kaandika hii inafurahisha sana [emoji16]
Arsenal win. ===Arteta [emoji35]
Arsenal lose ===Arteta [emoji35]
Marseille Win ===Arteta [emoji35]
Barcelona win ===Arteta [emoji35]
Fernabace win ===Arteta [emoji35]
Villareal win ===Arteta [emoji35]
Lmao… they hate the man for everything.
Ishu cyo vipasi tunatka mpira mzuri na mataji cyo pila bwa bwa bwaa basAliifikisha Arsenal fainali ya Europe league ujue.
Kumbe wewe unachopenda ni vile vi pasi pasi vingiii... Halafu makombee holaaaaaaa[emoji1787][emoji1787].Daah mashabaki wa Arsenal hapana.Wenger kawaathiri
Mtavipata msijari.Msimu ujao siyo mbali.Ishu cyo vipasi tunatka mpira mzuri na mataji cyo pila bwa bwa bwaa bas
Daaa Jana atletico wametupania hatari .....ila tumewaonesha kuwa tunaukomavu na haya mshindano ...goli 1 la away limetosha kuwatoa kwenye mashindano ....Manchester City are too easy to keep the ball against Atletico Madrid, press ya Atletico imematch up completely na build up ya city to the extent that City hawawezi kubypass even the first line of pressure, toka nimeijua City leo wameshindwa kuplay out for the first time, Pep haelewi nini afanye, Simeon mnyama mkali, duh kuna watu wamelaaniwa kwenye hizi kazi.
Hakuna ukomavu mlio uonesha Wala ukamavu wowote mlionao kwenye UCL.Kilicho wabeba ni bahati tu.Daaa Jana atletico wametupania hatari .....ila tumewaonesha kuwa tunaukomavu na haya mshindano ...goli 1 la away limetosha kuwatoa kwenye mashindano ....
This is our city
Lokonga anaperform vizuri kwenye phases zote tatu, 1st phase, 2nd phase, 3rd phase. Tatizo lake kubwa ni Mental issue kama alivyo Partey / Tavares inapelekea wanakosa Calmness kwenye key moments of the game kwa maana ingine hawakupi Consistency, Technical bench wanamuona Lokonga kama a future Holding Midfielder.kwanini Lokonga na Sio Elneny kwenye kikosi cha sasa cha arsenal baada ya Partey kuumia, mwenye ufafanuzi juu ya hilo
Una mbadala wa kusimama pale juu!? Auba umeuza tuendelee kutegemea msaada wa Nkethia tutafika tukiwa wachovu sana kwa misonyo na maudhiI will be Happy if Lacazette will be dropped to the bench tomorrow, his performance in recent matches is poor
Mfumo haumsaidiiLacazete akachukue form hii alipo iacha tunaihitaj sana kipind hichiView attachment 2188669