Nahis wengi wangekua wanaongelea mapungufu ya Arsenal kwa tactical kama anavyofanya @willJr nahis ingekua ni boraSelection ilikuwa poa, very tactical, hata structurally he did best unaona tunacreate enough chances thru sustaining waves of attacks, the issue ni individual
Mfano aliopt Xhaka acheze LB that means 3-2-5 in build up, xhaka as 3rd CB, na ikiwa kwenye settled play Xhaka anamove kwenye block ya midfield anaform 2-3-5 shape inatupa compactness if play breaks down, kocha yupo so tactical ila experience inatuua, hawa watoto wangekuwa na uzoefu hata miaka miwili technical security ingekuwa juu, so we managed to pin brighton back but we lost the game.
They won 2-1. Tufocus na mechi ijayo.
FACT Umemaliza kila kitu!Hakuna mmiliki mwenye akili timamu unaamua kumuacha beast striker kama Aubameyang aondoke unabaki na mfuga ndevu mpumbavu kama lakazete,hii timu ikipata mmiliki mwenye kuelewa maana ya uwekezaji kwenye soka kwa, wote pale hakuna anayestahili kubaki,wanapaswa wafurumushwe isibaki hata chupi kwenye kabati!.
Kuna muda ukiwaangalia wachezaji namna wanavyocheza unaweza kusema hawajala mwaka mzima au hawajalipwa misimu 6 mfululizo.
Bunley,Astonvilla,Brighton,watford n.k unakuta wanacheza kwa spirit ya hali ya juu japo huwa wanapoteza lakini kuna muda unaona kabisa wamepiga mpira,ukija kwa Arsenal unakuta wachezaji ni kuruka ruka tu uwanjani utadhani wanamizigo ya mabusha kwenye bukta zao,yaani wachezaji hawana uchu na uchungu wa kupigania matokeo.
Serikali ya Uingereza isipofanya fitna kama ambazo tunaziona kwa chelsea sasa hivi kuhusu mmiliki wake,basi Arsenal bado tunasafari ndefu sana ya mafanikio.
Miaka 2 ijayo Arsenal itabaki kuwa historia tu kama Nottingham forest.
Huu ndiyo Ukweli.
BILA STAN KROÈNKE NA MAPUMBAVU WENZIE KUIACHA TIMU KWA HIARI YAO WANAPASWA WASHINIKIZWE
Daily Arsenal ndio iwe na mapungufu?mapungufu ya Arsenal yapo kwa kocha mwenyewe hana experience yoyote 4 games in hand leo tumekuwa watu wa out of top 4 then Owner ambaye ni Kroenke na baadhi ya players almost robo 3 ya squad hawastahili kuchezea Arsenal that's it hayo ndiyo mapungufuNahis wengi wangekua wanaongelea mapungufu ya Arsenal kwa tactical kama anavyofanya @willJr nahis ingekua ni bora
Unless tunaongelea pesa haya mambo mengine ikipita saa 24 nakua nimesahau tumetoka wapi mpaka kufikia hapoAkitokea PSG
Sasa hivi team yake ipo nafasi ya 3, robo final uefa na nusu fainali fa.
Nimejibu swali lako ndugu?
Hizi XG mi siziongelei.Ukiangalia XG numbers utaona tunacreate many chances ila hatupo clinical enough, kwa game hii Arsenal created (2.27)1- 2(0.7) Brighton, kwa ishu ya midfield, of course, yes, we are not technically secure nadhani inachangiwa na experience, also tukiwa under pressure tunakosa Calmness, naona timu yote technical quality imeshuka hizi game mbili, magoli tunayoconcede ni mepesi na tunapoteza chance nyingi, leta maoni..
Mbona mlivyokuwa mnashinda amkusema hivyo leo hii baada ya vipigo Arteta sio kochaHakuna kitu mle, timu haina creativity, kila mtu anacheza anavyojisikia,Mseme kuna kocha humo?
Unataka wote tuwe na tactical-know-how, sio rahisi na ikiwa hivyo hatutaenjoy mjadala. Wengine ni tuna critisize wakizingua, mimi nimeangalia sana hizi mechi za mwisho nikaona kabisa we're not doing shyte.Nahis wengi wangekua wanaongelea mapungufu ya Arsenal kwa tactical kama anavyofanya @willJr nahis ingekua ni bora
Wenzio bado wanamatumaini ya top 4 hawajakata tamaa.
Sasa hivi hatulose kwaajili ya mbinu za kocha. Tunalose kwaajili ya kikosi na maamuzi yao ya kutosajili viungo wa kutushikilia kumaliza msimuTunapigaga kelele daily tupate kocha mwenye EXPERIENCE Mnamlilia Arteta JINGA lenu mnamuona Conte lakini?kaja katikati ya msimu na mpaka sasa anaongoza 3 Nil vs Aston villa?Top 4 ni yake na hatimaye kaimiliki hili daily ndio tunalipigia kelele Arsenal ipate kocha anayejua anataka nini katika timu Fu***k leo for Example Holding angecheza CB na White kucheza Mid nini kingeharibika Team CONTE
Bora uwambie ukweli ndugu zako maana hawajielewi kabisa wanakwambia malengo yao ni kumaliza top 3Tunapigaga kelele daily tupate kocha mwenye EXPERIENCE Mnamlilia Arteta JINGA lenu mnamuona Conte lakini?kaja katikati ya msimu na mpaka sasa anaongoza 3 Nil vs Aston villa?Top 4 ni yake na hatimaye kaimiliki hili daily ndio tunalipigia kelele Arsenal ipate kocha anayejua anataka nini katika timu Fu***k leo for Example Holding angecheza CB na White kucheza Mid nini kingeharibika Team CONTE
Kuna watu hawapendi ukweli,wao ni kujifariji tu sijui tatizo ni nini!! Bora wewe umeongea ukweli.Mkuu ni rahisi sana Xavi kuwin La liga hata kufanya vizuri UCL msimu ujao kuliko Mikel Arteta, sio kwamba Xavi ni bora kuliko Arteta ila ni sababu ya vikosi walivyorithi, Kwangu Arteta ni bora kuliko Xavi.
Barcelona ilikosa balance under Koeman, Xavis elite system pamoja na his tactical id zinaipa Barcelona inachohitaji kwa muda mfupi tu baada ya kijiunga nao, moja ya kitu alichofanya ni kusajili penetrative players Adama, Ferran, Auba sababu makocha wa nyuma walikuwa wamerely on to feet playsrs kama Messi, Griezmann etc...Barca ni wazuri kwenye build up so ujio wa Adama , Ferran etc unawapa uwezo wa kucreate kutoka kwenye midfield areas, pia kutengeza 1 v 1 situations na Kitu kingine kwa wale passers from midfield area inaongeza options sababu uwanja unatanuliwa na hawa outlets wakiwa kwenye touchline.
Sasa inawezekana hadi sasa kama koeman angekuwepo bado wangestruggle kwa kukosa balance kutokana na system anayotumia, Barcelona under koeman was bad Xavi kaleta result
Xavi atafanikiwa haraka kuliko Arteta sababu ya vikosi walivyorithi, Xavi alikuta kikosi kizuri kuliko Arteta Arsenal, kwangu Arteta ni bora kuliko Xavi japo wote on-ball & off-ball idea zao wametoa from the same master, Pep Guardiola.
Arteta alirithi hii timu and he managed to play out from the back with this, also he won two trophies with
View attachment 2181426
[emoji1787]Gooners wote tunahamia Aston villa kwa mkopo, Stieve G, man, fanya mazuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787],Spurs ndo top four Mkuu.Manchester chalii huyu tushamtoa kwenye race, kimbembe spurs
sisi mashabiki hatuna cha kukusaidia na zaidi ni kwamba 70% tunaimani na Arteta.Tunapigaga kelele daily tupate kocha mwenye EXPERIENCE Mnamlilia Arteta JINGA lenu mnamuona Conte lakini?kaja katikati ya msimu na mpaka sasa anaongoza 3 Nil vs Aston villa?Top 4 ni yake na hatimaye kaimiliki hili daily ndio tunalipigia kelele Arsenal ipate kocha anayejua anataka nini katika timu Fu***k leo for Example Holding angecheza CB na White kucheza Mid nini kingeharibika Team CONTE
Kwa timu za spurs na Arsenal kwenda CL wala siyo kigezo cha kuletewa wachezaji wakubwa. Wote tuna wamiliki miyeyusho kwahiyo ulichosema hakina usahihi wa 100%Conte anaenda Champions [emoji471] league na atapata Big players ambao wataleta competition kwenye league na Arteta atabakia na kina Lokonga ambao atashindana na middle teams in EPL kila season we trust the process Lokonga
Wamiliki miyeyusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naishia hapa broKwa timu za spurs na Arsenal kwenda CL wala siyo kigezo cha kuletewa wachezaji wakubwa. Wote tuna wamiliki miyeyusho kwahiyo ulichosema hakina usahihi wa 100%
Hata Arsenal kutosajili CM dirisha la January ilikua ni huu ubahili pia umechangia.
Mi nilidhani red za Xhaka na injuries za Partey ndiyo zitatuharibia injury tayari bado kuona Xhaka atamaintain for how long