makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,452
- 108,533
Nilipoona kwenye kikosi hakuna partey nikaona mambo yanakuwa magumu mnooArsenal ilipogoma kusajili mid na nikasemea hii ishu itatugharimu nilibadilishwa mawazo na matokeo chanya tuliyoyapata.
Apparently it shows
Tia elneny hapo tuvushe mipiraNketiah in, arteta hii game anaionaje[emoji848]haoni matatiza yapo dimba la kat?
Nketiah in, arteta hii game anaionaje[emoji848]haoni matatiza yapo dimba la kat?
Hamna kitu, humo, kocha anayekataa Kununua wachezaji akiamini hiki kikosi kinaweza kuwa kwenye top six!!!! Never
2 bila huko???? Tusubiri 90 Minutes ziishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Haijalishi tunaenda kucheza mpira gani, muhimu POINT 3
#coyg
@Mervin nasubiria wachambuzi die hard fans wa Arteta waje humu JukwaaniUmeyaona Leo?... Tatizo mkiambiwa munakuwa wabishi.
Arsenal bado saana,Arsenal ni nguvu ya soda.
Anaweza akawin MFULULIZO game 6 ,Must game ana poteza point. Normal.
Arsenal bado Sana,Tena Saana.Kwanini???? Ana kikosi kidogo.Ushindi wake unategemea first eleven yake ikiwa fit 100%.
Tieney hayupo kawekwa Tavares,pengo limeonekana wazi.
Martinelli hakuwa fit ndo maana hakuanza,nafasi yake kapewa Rowe ambaye mara nyingi ni mzuri akitokea benchi,pengo halikuzibika.
Kama kawaida midfielders wa Arsenal nguvu nyingi akili kidogo(Xhaka na Partey)Asipopata kadi ya njano,atapata nyekundu au ata sababisha nyekundu hasa ikitokea wamekutana na viungo Wanao tumia akili nyingi Garaga.Bisouma,Ward pouse.[emoji16]
Tangu game inaanza tumeonyesha kupwaya katkat lakn kocha ameshindwa kuchukua hatua mapemaLeo kikosi kimetugharimu nahs arteta aliichukulia poa hii game
May 22 ndio msimamo wangu wa EPL ila Top 4 imeyeyuka kama Barafu kwenye jua Arsenal haitafuzu top 4 that's the ugly truth but Europa League atachezaThat's why nasemaga May 22 ndio ntaongea baada ya msimu kuisha kwa sasa Msimu bado kabisa mtu kujitamba tuna Spurs West Ham Chelsea (zote away)