mimi ningemtoa laca aingie pepe.
toa smith-rowe aingie elneny asaidiane na lokonga katikati. ode acheze mbele yao kama link na front 3 ya pepe, martinelli na saka. afu tuache kucheza wide, tucheze narrow kwa runs in behind. sipendi hii kuona saka na martinelli, esp martinelli wanakaa kwenye touchline wakisubiri balls to feet badala ya kupiga runs wapate throughballs. hawa brighton ni kuwapiga kwa sharp movements na runs.