HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
Nimemiss optimistic fandom kama hii. 😀😀😀 hata nzi hapiti 😃😃 maana maisha ya kuwa shabiki waArsenalunajua kabisa furaha yako doesn't last long. So pale tunapopata nafasi ya kufurahi tunaitumia ipasavyo. Vieira leo atajua hajui. Hatujali cha eti ameingia hall of fame wala nini.Kufungwa kwa chelsea
Ushindi huu wa spurs
Naona kama wamemtafutia matatizo patric V
Yan partey, saka, odegard, martinel, xhaka, waambiwe tumeshushwa top 4, kwaio tunahitaji ushindi wa damu, machozi na jasho
Sidhani kama kutakua na usalama
Jini letu kama kawida lipo pale golin. Ata inzi hapita
