Tunapishana sana aisee.Twende kwenye draft niambie upo room namba ngapi
Tunapishana sana aisee.Twende kwenye draft niambie upo room namba ngapi
Cha kusikitisha zaidi games zote hizo 4 mnaukalia halafu hasira zenu zote mtahamishia kwa Arteta.Don’t underrate teams in the relagation territory, with reference to what happened yesterday to chelsea.
Tough games ahead of us are; man United, chelsea, Spurs and westham
Tunapishana sana aisee.
Tukihamishia hasira kwa arteta itakua sawa tu ila nyinyi mnabakwa day in day out na mnachekelea profesa atawafikisha mbaliCha kusikitisha zaidi games zote hizo 4 mnaukalia halafu hasira zenu zote mtahamishia kwa Arteta.
Ila ujue nitakufunga kwa hasira kwa vile unanikimbia sanaNext time
Ila ujue nitakufunga kwa hasira kwa vile unanikimbia sana
Top four uhakika au siyoo ...Kwa hizi fixtures, mmmh!View attachment 2174929

Tena ajidhihiriishe tu kwamba yeye ni Manchester United wala asipate tabu. Hana haja ya kujifanya arsenal huku mafanikio ya arsenal yanamuumizacomputerarsenal mi nilishakwambia siku nyingi kwa ukubwa wa IQ yako wewe sio wa kuishabikia Arsenal, mashabiki wa arsenal wengi akili zao ziko below average lazima tu watakuona wewe kua sio wao.
Haya hawa hapo tayari wameshaanza kukutoa kwenye chama kisa kuwaeleza ukweli ya kwamba hakuna timu kubwa yoyote duniani isiyokua na malengo ya kubeba makombe.
Hebu jitafakari upya hapo ulipo sio sehemu sahihi kwa kiwango kikubwa cha akili ulichojaaliwa.
Mpaka member wenzako wanakuambia hivi :-
"computerarsenal nimegundua hii sio timu special kwa ajili yako,unajiumiuza tu mkuu"
Tafakari mkuu
Chukua hatua, achana na hao jamaa wenye mtindio wa ubongo.
Hapo ninae muhofia ni LEEDS tuKwa hizi fixtures, mmmh!View attachment 2174929
Najiamini. Nimebeba jina la ukooHujui kiwango Changu, unasema unsnifunga!!!!!!
Una wasiwasi???Kwa hizi fixtures, mmmh!View attachment 2174929
niambie jioni nikutafute saa ngapi?Najiamini. Nimebeba jina la ukoo
wote wachumba haoKwa hizi fixtures, mmmh!View attachment 2174929
Hapo ninae muhofia ni LEEDS tu
Wengine wote ni fimbo za kutosha
mbona una ongea kinyumee.likelyTop four uhakika au siyoo ...![]()
Sana mkuu!!Una wasiwasi???
Eti mafanikio ya Arsenal yanamuumizaTena ajidhihiriishe tu kwamba yeye ni Manchester United wala asipate tabu. Hana haja ya kujifanya arsenal huku mafanikio ya arsenal yanamuumiza




Kuwa juu ya Man UTD kwenye table nayo ni mafanikio ya Arsenal.Kwani hujui?Eti mafanikio ya Arsenal yanamuumiza
Hivi arsenal inamafanikio gani???
Kuwa juu ya Man UTD kwenye table nayo ni mafanikio ya Arsenal.Kwani hujui?


hongera zao kama tafsiri ya mafanikio kwao ni kua juu ya Man United kwenye msimamo wa ligi.