Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I like your English, keep it up utatoboa
Mimi English sijui. Kuhusu kutoboa hiyo ni case nyingine Mkuu,
Kama umetoboa kwa kujua English keep it up! Au kama unadhani kujua English ndo kutoboa ni mtazamano mzuri pia.
 
come on boys and men.hivi mnaujua msingi wa shabiki wa arsenal asilia?.

timu au taasisi yoyote dunian yenye falsafa wafuasi wake huwa wanajiungamanisha na falsafa sio product au matokeo.arsenal mashabik wake wamejengwa katika falsafa ya soka la arsenal sio makombe au mafanikio na moja ya watu waliojenga msingi huu ni arsene wenger.

ushawahi jiuliza kwanini timu kama barcelona,arsenal na city kwa sasa haziwez kuchukua kocha yoyote hata kama anabeba vikombe?.jiulize kila mchezaji angeweza/anaweza kucheza arsenal?.arsenal kuna culture,philosophy ambayo lazima kocha au mchezaji afiti kwanza kabla ya kusajiliwa.

hivi unajua kwanini arteta anaweka msisitizo kwenye fast and flowing football kwenye interview zake badala ya makombe?do you know it?.mkuu kama umechagua kuishabikia arsenal usitegemee kuona mafanikio in chelsea,madrid or united way.

globally kwanini arteta amepata uungwaji mkono ghafla wakati unai alitufikisha highest stage?jiulize kwanini?.

read between lines, good football ni first priority before troohies kwa natural gunners fans.enjoy it....it is coming home,we dont know when!!but we are pretty sure it will come
Sawa.Ngoja tushabikie Arsenal.Vikombe sisi kwetu siyo inshu.Ni mwendo wa burudani.

Coyg
 
Exactly,Trophies and Medals are just bonuses for my team
Hapa ulichokiandika ni either umemjibu mdau hapo ukiwa na hasira but kwa Big teams zote duniani Trophies ndio achievement may be ni mawazo yako ila sio ya Arsenal na Management yake na 90 % fans around the world wa Arsenal wala ya Arteta
 
Mimi English sijui. Kuhusu kutoboa hiyo ni case nyingine Mkuu,
Kama umetoboa kwa kujua English keep it up! Au kama unadhani kujua English ndo kutoboa ni mtazamano mzuri pia.
caught me wrong young boy, kutoboa I meant to master the language
 
Mkuu sisi wote ni Arsenal fans punguza mdomo hao Crystal Palace bila Lacazete kuscore katika injury time Emirates pale tuisngepata point Crystal Palace tena home ground ni timu kali sana kwa sasa we need to win angalau 8 games katika 10 games zilizobakia haya maneno ya kujigamba hayana faida timu yetu kuna muda inakuwa vizuri sometimes no let's wait and enjoy the game bro
Fact kabsa
 
Hapa ulichokiandika ni either umemjibu mdau hapo ukiwa na hasira but kwa Big teams zote duniani Trophies ndio achievement may be ni mawazo yako ila sio ya Arsenal na Management yake na 90 % fans around the world wa Arsenal wala ya Arteta
All we do is trusting our process, trusting our coach and trusting our own team management..........and not complaining about everything facing our team
 
Mambo ya kutrust process yataeleweka kama Arsenal atafuzu champions league this season kwa nafasi aliyopo hadi sasa ya TOP 4 kutokana na rivals wake kudondosha points na Arsenal kumaintain status yake kwa sasa
 
Wanamwitaga ARV ni united fan mwenye ngozi ya Gooner
Sisi wengine ni Die hard fans wa Arsenal ila haturembi rembi na kusifia ujinga ujinga ,we speak FACTS that's why unatuona maadui hakuna namna inabidi ukubaliane kutokukubaliana bro
 
computerarsenal mi nilishakwambia siku nyingi kwa ukubwa wa IQ yako wewe sio wa kuishabikia Arsenal, mashabiki wa arsenal wengi akili zao ziko below average lazima tu watakuona wewe kua sio wao.
Haya hawa hapo tayari wameshaanza kukutoa kwenye chama kisa kuwaeleza ukweli ya kwamba hakuna timu kubwa yoyote duniani isiyokua na malengo ya kubeba makombe.
Hebu jitafakari upya hapo ulipo sio sehemu sahihi kwa kiwango kikubwa cha akili ulichojaaliwa.

Mpaka member wenzako wanakuambia hivi :-

"computerarsenal nimegundua hii sio timu special kwa ajili yako,unajiumiuza tu mkuu"

Tafakari mkuu
Chukua hatua, achana na hao jamaa wenye mtindio wa ubongo.
 
nyumbu pekee inayozagaa majukwaa ya wanaume
 
Lione hili li-idiot, linatafuta wachumba
 
Back
Top Bottom