Mnajifariji Wana Gunnerz na matamanio yenu ingali timu yenu falsafa yake mnaijua kuhusu sajiri za wachezaji.
Huyo Raphina kasha sajiriwa barca siyo muda.
Gakpo Van nestory ambae ni kocha mpya psv kasema atapiga juu chini abaki.
Huyo nunez hata msimuwazie maana uhakika wa 100% wa top four bado japo muna % kubwa ya kuwa top four kuliko wapinzani,Na wachezaji wengi Wana penda kucheza uefa kama Dusan mlivyo mjadili Sana mwishowe Juventus wakajinyakulia striker.Timu yenye % kubwa kumchukua ni Liverpool ambao watacheza nao QF uefa ko Nunez atakuwa kama ana ji bland Kwa majogoo.
Dyabala kasema mwenyewe kwa mdomo wake kuwa angependa kuicheza A.Madrid msimu ujao kuliko club nyingine ulaya.
ARTETA HUYU AMBAE ANA WIN MECHI SITA MFULULIZO ZISIZO NA UMUHIMU NA KUPOTEZA POINTI MECHI MBILI AU TATU MECHI ZA MUST WIN? ARTETA HUYU BIG TEAMS YOYOTE HATA IWE HOI KIASI GANI HAFUI DAFU ndo unasema anaitengeneza Arsenal kuwa kama Man city ya Pep?
