Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwani ronaldo, aubameyang, cavanni, wana miaka mingapi? We need him for two to three seasons halafu tunaachana naye
Ronaldo mzigo. Cavani ni warrior ila majeruhi yanamharibia. Auba ndiyo akawa vile.

Kama tunahitaji 30 something tustick na Laca. Itakua ni heshima kwake na assurance kwa waliopo kuliko kumuacha na kusajili 30 something mwingine.
 
Kwani ronaldo, aubameyang, cavanni, wana miaka mingapi? We need him for two to three seasons halafu tunaachana naye
Antonio kazaliwa march 28 1990, ana 31 lakn kesho tu hapo mwez huu huu anatmza 32,

Changamoto ya umri mkubwa hawapat mda mwing wa kurecover endapo kiwango kikiyumba au akipata majeraha. Uwez mvumilia maana umri unaenda refer to willian, luiz..

Kwasababu bado tunajenga timu n vizur kupata kijana ili tukimaliza kupanda tuwe nae pia kwenye kuvuna, imagine unatengeneza timu na Antonio labda kwa miaka miwil timu ina settle afu yy anaondoka means utafute Tena backup yake, sion kama n ujanja..

N vizur akapatkana yank kama haaland
 
Habari kama hizi ndio zinatoa uhalisia jinsi gani nchi zetu za Africa zilivyo maskini.. Yaani Mshahara wa Neymar unaweza lipa mishahara ya watumishi karibu wore wa nchi hii bila wasiwasi..
 
Vlahovic, locatelli, Guiamaraes
Guimaraes nae alitutosa kwan? sio Arsenal tu wenyewe atukua serious nae,.

Yan aitose Arsenal aende newcastle


Kama n hivo bas itakua waarabu wale wamempiga tilalila mwakan wananyanyua kwapa
atasubir sanaa, pesa haichez mpira
 
Halafu kuna Buendia
 
Dybala hatufi kweli. Just to answer your question, he is 28 years old
 
Ingekua mimi simsajili Toney namsajili Mbeumo.

Younger than Toney, running forward the whole 90 minutes, physically great ana pace, shot power na skills
Nimeikuta sehemu, huu mjadala una mantiki kwel au ndo kila ng'ombe uvutia kwake
 
Ivan Toney mwamba sio tu goal machine huyu ni Vlahovic or Harry kane mweusi.
Usimfananishe Toney na watu wa kazi kama Vlahović au Harry Kane. Pelekeni offer Fulham mchukueni Aleksandar Mitrović atawafaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…