Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Franck Kessie CM mwenye profile ya Partey wa AC Milan anawaambia Milan wampe 170K kwa wiki hiko kiasi kitafanya awe mchezaji anayelipwa pesa nyingi kwenye kikosi chao.

Milan wanaona ni kiasi kikubwa inasemekana anaweza enda Barca, ni injury prone ila kwangu ni kiungo mzuri sana.
 
Sio anaweza kwenda Barca bali kashaenda, ila serie A Kuna salary rafiki Sana kwa vilabu, ata vilabu vikubwa kama juve/Milan's mishahara Yao ni kawaida sana compared na EPL
 
Nketiah analipwa zaidi ya Holding, Saka, Emile...Sijui waandaaji wa mikataba wetu huwa wanakunywa gongo.
Nadhani Arsenal wajitahidi kuwa na wachezaji bora tu na wajitahidi kuweka salary kati ya 60k - 150k tu kwa first team. Hale End graduates wakijiestablish first team na kucheza zaidi ya mechi 15 zenye impact basi baada ya msimu mmoja wapewe contract za kuanzia 60k ili nao wajione kama first teamers maisha yaendelee.
 
Sio anaweza kwenda Barca bali kashaenda, ila serie A Kuna salary rafiki Sana kwa vilabu, ata vilabu vikubwa kama juve/Milan's mishahara Yao ni kawaida sana compared na EPL
Ligi masikini ndo maana hata Conte akatoka zake
 
Eddie ameanza kupata namba first team kabla ya Saka na Emile. Hence kuwazidi mshahara.

Emile mwaka jana aliingia mkataba wa miaka 5 kwa 40K (Huu mkataba ndiyo umefanya apokee zaidi ya Saka) Saka anatarajiwa kunegotiate mkataba mpya utakaompa 120K.

Holding alikua majeruhi muda mrefu hakua na edge ya kudai ongezo. Saliba kuitwa timu ya taifa means ameendelea vizuri hence anaweza rudi Arsenal na mchongo wa Holding kuongezewa mkataba mkubwa unaweza usitokee.
 
Hata akija Saliba, Holding aongezewe mkataba na mshahara. Namkubali dogo. Tumuache Pablo Mari asepe kutafuta maisha.
 
Ana 28,

ila n kipaj, timu yenye nketiah ukimuongeza dyabala umeongeza quality

Winga anacheza, ana cut in ana achia makombora ya hatar, ule upuuz anaocheza pepe bora dyabala

Hapo kwenye majeruh ata mm ndo napohofu bas asije tu


Kama vp watu letee yule rafinha wa leeds, na 9 mmoja wamtoe amerca kisin huko ndo wakal wa hzo kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…