makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,450
- 108,529
Ni vema jukumu la kufunga likawa ni la kila mtu, sababu team inatengeneza nafasi za kutosha, sasa haiwezekani watu wakose nafasi lawama tume CF, nafasi tunazotengeneza zinatokana pia na aina ya uchezaji wa laca na kazi kubwa anayopiga uwanjani.Huyo msimu ujao atakuwa benchi au atasepa kwenda France lazima Arsenal atafute forward mwenye vitu vyote viwili kama enzi za kina Suarez tatizo kubwa la Arsenal ni hapo mbele Laca kwenye finishing ni tatizo kubwa ana goli 6 pekee this season kwenye EPL siku kina Saka Smith Row Odeegard Martinelli wakiwa vibaya basi timu tutascore goli la bahati au Arsenal akascore nothing
Ndio madhara ya kuwa team ndogo mkuu, saizi Arsenal haina tena ushawishi kwenye mambo kama hayo ya ratibaHivi kulikuwa na ulazima gani wa kupanga mechi jumatano usiku halafu nyingine jumamosi mchana? Wangepungukiwa nini kupanga jumapili?
Kwani Kuna kilicho haribika Mkuu?Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kupanga mechi jumatano usiku halafu nyingine jumamosi mchana? Wangepungukiwa nini kupanga jumapili?
Kanuni haijavunjwa. Sheria ni masaa 48 kama sikosei.Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kupanga mechi jumatano usiku halafu nyingine jumamosi mchana? Wangepungukiwa nini kupanga jumapili?
We si ulisema hatukucheza vzur[emoji3] unakuaje dominant na haujacheza vizur[emoji1787]Arteta kasema tuna safari ndefu kwakua kwa mechi ambayo tulionekana dominant kama jana ilitakiwa tuscore goli la pili na la tatu.
Mimi namuunga mkono.
Nilikua nimeandika hapo juu.We si ulisema hatukucheza vzur[emoji3] unakuaje dominant na haujacheza vizur[emoji1787]
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Hapana sikusema una wivu nili ku challenge kwa kusema, "Huu mpira wote tunaocheza, unaona side pass tu[emoji848]"Nilikua nimeandika hapo juu.
Namna tumecheza ilitupa possession ila haikutufanya tuwe threat. Ndiyo maana ulivyoniquote na kusema nina wivu nikakuambia uniache.
Na sasa hivi unavyoniquote ili ukomalie hili swala ndiyo nazidi kukuona miyeyusho, msimu uliopita tulikua tunacheza kama ulivyoona jana na ilisababisha tusipate matokeo badala yake unacheza na Burnley una possession 72 ila yeye kascore goli moja kaondoka na points 3.
Mechi ya jana ni kiwakilishi cha msimu uliopita.
Uwe unaelewa.
Bro hatuwezi fanana maoni.Hapana sikusema una wivu nili ku challenge kwa kusema, "Huu mpira wote tunaocheza, unaona side pass tu[emoji848]"
Na hicho kilikua kipind cha kwanza nafkr ndo tulicho tawala ata Steven gerrad alikili hicho alivyo hojiwa baada ya mechi ndo maana nikashangaa na kuku uliza vile
Kipind cha pili ofcoz ilifika mahali tukazidiwa uki overall sasa ndo hich unachosema kina make sense. Lakn kwa kipind cha kwanza ata stat znathibitisha tuli dominate.
Mm sina uelewa mkubwa kuhusu football tactis so no way nikadharau au kuchukulia poa comment za mtu yeyote hasa ambazo n za kitaaluma zaidi, najifunza sana kupitia nyinyi hata napo challenge n kwalengo la kuelewa zaidi so nitoe kwenye kund la watu wa makasiriko[emoji3] am your fan
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
bado ,hizi zime leak tu za msimu ujao, hiz hadi junehow much?
Zimekaa kiha Sana hizi
Hizi mbaya, watafute jezi nyengine
It simply means EPL ilimkataaAubameyang anascore sana Spain [emoji633] sijui ni problem gani ilimkuta msimu huu Arsenal all in all hongera zake
EPL ni ligi ngumu sana. Auba anaongezeka kwenye list ya strikers walioondoka PL na wana-shine kwengine.It simply means EPL ilimkataa