Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
hahaha muna ishu gani mkuu ..Kuingia top four si ndio target yenu hahaha ..Kazeni oho manure anaitaka hiyo nafasi ya nneOllachuga na wenzio mtupumzishe tunataka kudiscuss our issues.
sisi tunahitaji nafasi ya tatu hiyo ya nne mtagombania na hao dada zenuhahaha muna ishu gani mkuu ..Kuingia top four si ndio target yenu hahaha ..Kazeni oho manure anaitaka hiyo nafasi ya nne
Mimi natamani Lacazette apewe kandarasi mpya ya 2 years. Tunamuhitaji bado kama backup na aprovide leadership.We need #9 and backup player 4 xhaka and retaining the current squad. Lacazette and Nketiah maybe removed from our payroll next season
Hao ni haters mzee. Wanajifanya mashabiki wa Arsenal kumbe ni haters tuSO SAD kwamba Kuna watu hawaoni kwamba, tunapiga hatua, SO SAD.View attachment 2157546
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Young anazeek na ujinga wake sio bure😂😂😂Ashley Young:
"You saw the way they celebrated, to be honest it was like they won the league."
Arsenal https://t.co/O1rTUmLqUQ
2003-2006 I guess, that was the best moment for all arsenal fans. I suppose that era is coming back.Aaron Ramsdale praising Bernd Leno at full time. I can’t remember the last time I loved an Arsenal squad the way I love this group of players
You're not serious, Arteta is doing a great job so far, he's built a strong defence that doesn't leak goals easily, in the middle of the park we're just a man away from being a strong midfield.Optimistic for top four, but we dont have the quality that is needed from our manager. We need to recruit someone who can empower this youthful squad with skills to challenge with europe finest
Huyo msimu ujao atakuwa benchi au atasepa kwenda France lazima Arsenal atafute forward mwenye vitu vyote viwili kama enzi za kina Suarez tatizo kubwa la Arsenal ni hapo mbele Laca kwenye finishing ni tatizo kubwa ana goli 6 pekee this season kwenye EPL siku kina Saka Smith Row Odeegard Martinelli wakiwa vibaya basi timu tutascore goli la bahati au Arsenal akascore nothingMimi natamani Lacazette apewe kandarasi mpya ya 2 years. Tunamuhitaji bado kama backup na aprovide leadership.
Msimu huu hizo dua mtapiga sana ila tunatoboa. Ukitaka kufanikiwa labda iwe game na Shit au Fools walau hutakiwa umepoteza Muda kuweka Dua zakoNilikuwa nasubiria goli la kusazawisha tu mechi yote dk za lala salama ilibaki kidogo Ings atupe furaha mashabiki wa muda wa Aston Villa.
Ila mimi nawajua nyie Arsenal, kabla hamjafika kwa Chelsea ni lazima mta-drop points kwa Palace, Brighton au Southampton hii ya leo yenyewe mmebahatika tu.
We have been is there, any other than this!? Now close to 20 yrs in it.Go to hell !