Nilikuwa nasubiria goli la kusazawisha tu mechi yote dk za lala salama ilibaki kidogo Ings atupe furaha mashabiki wa muda wa Aston Villa.Mkuu ahsant japo najua huu ushindi unakuumeni sana united
Kushinda hii game maana yake tume improve kiwango, kawaida yetu tulikua tunakufa hii game,Nilikuwa nasubiria goli la kusazawisha tu mechi yote dk za lala salama ilibaki kidogo Ings atupe furaha mashabiki wa muda wa Aston Villa.
Ila mimi nawajua nyie Arsenal, kabla hamjafika kwa Chelsea ni lazima mta-drop points kwa Palace, Brighton au Southampton hii ya leo yenyewe mmebahatika tu.
Pepe sijui kitu gan kina msibu? n talented sana yule jamaa, akishindwa ku shine Tena msimu ujao aondoke tu pengine kiwango kikarud huko aendako kama AubaYaani Nketiah na Pepe walikuwa wanatujambisha bora wasinge fanyiwa sub.
Ila yote kwa yote tatu muhimu.
Taja kwanza wewe timu gani? Mbona unateseka sanaNilikuwa nasubiria goli la kusazawisha tu mechi yote dk za lala salama ilibaki kidogo Ings atupe furaha mashabiki wa muda wa Aston Villa.
Ila mimi nawajua nyie Arsenal, kabla hamjafika kwa Chelsea ni lazima mta-drop points kwa Palace, Brighton au Southampton hii ya leo yenyewe mmebahatika tu.
What were your expectations this season?Hakuna Process mzee, zaidi tufurahie tu Ushindi. Kuufunfibsitarajii Teta aje kuwafunga Pep na Jurgen, na kushundwa kuwafunga hao ni mark time ya kuukosa Ubingwa jama kawaida.
Ka muhimu kwa sasa no return of we are the champion night basi
Arsenal tunawafahamu vizuri miaka yote wanajifunika shuka kunapokaribia kupambazuka, hao ni homa ya vikindu[emoji1787][emoji1787]Taja kwanza wewe timu gani? Mbona unateseka sana
Mimi sio Arsenal lakini tangu atoke agent Luiz na Willian na baadaye Auba, Arsenal imekuwa strong na defence haina makosa zembe tena
Optimistic for top four, but we dont have the quality that is needed from our manager. We need to recruit someone who can empower this youthful squad with skills to challenge with europe finestWhat were your expectations this season?
Optimistic for top four, but we dont have the quality that is needed from our manager. We need to recruit someone who can empower this youthful squad with skills to challenge with europe finest
Let's keep the hopes high brother πͺπΏ, The rest will come, it's a process Arteta believes on, and on my eyes it is paying off.Optimistic for top four, but we dont have the quality that is needed from our manager. We need to recruit someone who can empower this youthful squad with skills to challenge with europe finest
Kweli mkuumim chelsea ila arsenal mko vizuri san ishu iliobaki n kushinda match kubwa mkieendeleza huu moto tutapambana namba tatu
Nakataa mkuu. Leo game plan was to paralyze the whole game and don't start running games against villa who were fresh. Sisi big talking point for the past two days ilikuwa ni kuhusu kucheza Leo mapema hivyo tulikuwa tumechoka sana na hatukutakiwa kukimbizana sanaa maana tungeweza pata injuries kirahisi sana. Ndio maana game ikawa na back na side passes nying.Jambo lililowaz arteta anafanya kaz chini ya personal pressure kubwa na hii unaiona hata namna wachezaji wanavyofanya maamuz kwa hofu kuu.team itulie issue ya champions league inaweza ikafanya tukazid cheza ovyo
Game ya Liverpool team ilienda kutafuta ushindi in every possible way,ila Leo timu ilienda kujizuia isifungwe kwa baada ya matokeo ya wiki iliyopita.lazima wachezaji na kocha watulie washughulike na mechi iliyo mbele yao hayo ya champions league tutayajua mech ya mwisho
Hahahahahaahah ndugu zetu Manchester United safari hii mtasubiri sana top 4 hampatiNilikuwa nasubiria goli la kusazawisha tu mechi yote dk za lala salama ilibaki kidogo Ings atupe furaha mashabiki wa muda wa Aston Villa.
Ila mimi nawajua nyie Arsenal, kabla hamjafika kwa Chelsea ni lazima mta-drop points kwa Palace, Brighton au Southampton hii ya leo yenyewe mmebahatika tu.
Hawa watu ndio wanakuwa sio realistic. Hawa watu hawajui ku-maage expectations zaoWhat were your expectations this season?
Tena kwenye deepest hole of hellGo to hell !
jamaa coment zake anaona negative tu, mfatilie, hivi timu gani aichezi nyuma? ni timu gani inacheza mbele tu na hapo villa walikuwa na 0 on targetKuna watu huwa wanaona negatives tu, wanatafuta wapi tunakosea bila ya kuangalia how far we've come to build with team again to play as a competitors.
So usishangae.