makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,449
- 108,521
Shida ya xhaka ni ile ile kutokunyumbulika kwake, ule mpira alikuwa anapiga kisigino lakini ikabidi au"guard" tuWe lead by one goal Xhaka anamsukuma mtu.
Anapata yellow.
Fuckery up ndogo ndogo kama hizi zimetucost for years
Kuna jamaa anasema tunacheza vizuriShida ya xhaka ni ile ile kutokunyumbulika kwake, ule mpira alikuwa anapiga kisigino lakini ikabidi au"guard" tu
Hii game mpaka sasa bado, inabidi tupige la pili, game za mapema huwa sio nyepesi na sijui kwanini.
Sijui hiyo vizuri kwake ina maana gani!! [emoji848]Kuna jamaa anasema tunacheza vizuri
Tulianza vizuri sana but now on, I don't know what will happen naona kuna sehemu tunekamatwa but football ni dk 90Kwa experience yangu, hii game inanukia kupoteza point.. Tubane saana pumbu.
Tumepoteza kujiamini na ni kutokana na presha ya kuongoza kwa goli moja kuna kila dalili ya jamaa kuchomoaTulianza vizuri sana but now on, I don't know what will happen naona kuna sehemu tunekamatwa but football ni dk 90
Hamna mchezaji humu mkuuPepe asipo angalia kiwango chake ndo kinapotea hvo, utoto mwingi
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app