Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
umenielewa vy, hakuna mahali nimesema liver wakawida, hakuna nilipowashusha, ila nimezungumzia hali halisi, arsenal ya sasa alipoifikisha arteta usitegemee itakaa nyuma kesho, hata kwa leicester amezidi possession lkn arsenal haikukaa nyuma, hata dhidi ya city first half before red hatukukaa nyuma ingawa city alizid possession, kuzid possession inategemea una gain wap possession yako,mfano leicester mpira mwingi alikuwa anachezea kwenye zone yake, possession unai calculate kwa pass kuwa nyingi na zilizopotea, hiyo sio factor ndio umecheza vzr, kaangalie statistics nyingine ukiacha possession dhidi ya leicester utaelewa ninachosemaHii umeandika kishabiki zaidi mkuu, wape heshima Liverpool, Liverpool are transition monsters in Mane, Salah & Diaz. Ukisema ni kwenda mbele tu game wataimaliza mapema asubuhi. Arsenal tuna tendency ya kusit deep tunapocheza na timu zenye top technicians ipo wazi, Game vs Leceister we had 46% of the ball, how about Liverpool? Remember Liverpool never sit deep. Of course, tutakuwa na some good moments of the game kwa kusustain attacks sababu quality tunayo, lakini bado Liverpool ni bora kuliko sisi, game itakuwa ngumu, game of the ages, napendaga sana mechi kama hizi.
Liver ni wazuri kuliko sisi kama ambavyo man city walivyo wazuri pia. Lkn wakija na uhakika kwamba watakuja kuchukua point kwetu tunaweza kuwashangaza na hilo linawezekana kutokana na form tuliyonayo kwa sasa.Hii umeandika kishabiki zaidi mkuu, wape heshima Liverpool, Liverpool are transition monsters in Mane, Salah & Diaz. Ukisema ni kwenda mbele tu game wataimaliza mapema asubuhi. Arsenal tuna tendency ya kusit deep tunapocheza na timu zenye top technicians ipo wazi, Game vs Leceister we had 46% of the ball, how about Liverpool? Remember Liverpool never sit deep. Of course, tutakuwa na some good moments of the game kwa kusustain attacks sababu quality tunayo, lakini bado Liverpool ni bora kuliko sisi, game itakuwa ngumu, game of the ages, napendaga sana mechi kama hizi.
ubora wa liver hauzuii na hautazuia arsenal kwenda mbele.like game dhidi ya city....na ukisema tukifunguka tunakula nyingi nakukatalia, ukikaa nyuma ndio unakuwa kwenye risk kubwa ya kupigwa, arteta awali alikuwa anakaa nyuma kipind hicho ana kina kola,mari,belle . ,na tunapigwa 5Hii umeandika kishabiki zaidi mkuu, wape heshima Liverpool, Liverpool are transition monsters in Mane, Salah & Diaz. Ukisema ni kwenda mbele tu game wataimaliza mapema asubuhi.
Usiandike kishabiki mkuu inabidi uelewe kwanza fundamentals, Sipo hapa kuiponda Arsenal ila nataka uelewe kitu kimoja, Unapozidiwa Possession maana yake you're too easy to keep the ball against na factor inayochangia ni kuwa hauna physicality in forward areas to press high line per 90. Sasa unaposhindwa kupress high line vs Liverpool unakuwa Forced to sit deep, sio kama unaamua wewe kukaa nyuma au kwenda mbele, ni profile & quality zitakuruhusu kufanya hayo kuzingatia na ubora wa mpinzani wako, and Liverpool have top technicians to destroy every opponent, so tupunguze mahaba tunaweza shinda ila sio kwa sababu tulimsumbua City basi itakuwa hivyo kwa liverpool.umenielewa vy, hakuna mahali nimesema liver wakawida, hakuna nilipowashusha, ila nimezungumzia hali halisi, arsenal ya sasa alipoifikisha arteta usitegemee itakaa nyuma kesho, hata kwa leicester amezidi possession lkn arsenal haikukaa nyuma, hata dhidi ya city first half before red hatukukaa nyuma ingawa city alizid possession, kuzid possession inategemea una gain wap possession yako,mfano leicester mpira mwingi alikuwa anachezea kwenye zone yake, possession unai calculate kwa pass kuwa nyingi na zilizopotea, hiyo sio factor ndio umecheza vzr, kaangalie statistics nyingine ukiacha possession dhidi ya leicester utaelewa ninachosema
hata hiyo kesho usitegemee arsenal kukaa nyuma kisa ni liverpool, kuna timu ina possess mpira kuliko city epl? sitashangaa wakituzid possession ,lkn nategemea timu kufunguka , mech za emirates now imekuwa hivo, kadri siku zinavyoenda
ndicho ninachoamini mimi, kwa mara ya kwanza kabisa arteta aliamua ku attack timu yoyote inayokuja emirates baada ya angalau kuona eneo la midfield lina xhaka na partey, , sion sababu ya arteta kukaa nyuma tena emirates ,midfield una xhaka partey, ,Liver ni wazuri kuliko sisi kama ambavyo man city walivyo wazuri pia. Lkn wakija na uhakika kwamba watakuja kuchukua point kwetu tunaweza kuwashangaza na hilo linawezekana kutokana na form tuliyonayo kwa sasa.
Wachezaji wetu kwa sasa wana ujasili baada ya kushinda mechi kadhaa mfululizo hivyo wanajiona kabisa kuwa wana uwezo wa ku-battle na giant yoyote na wakapata matokeo. Rejea kauli za hivi karibuni za wachezaji wetu.
Wachezaji wetu tegemezi wote wako kwenye kiwango cha juu sana na hivyo nadhani watakuwa wanataman kukutana na changamoto kutoka kwa wapinzani walio kwenye form ili wapimane uwezo. Mfano ni battle ya Partey, Xhaka na Odegaard dhidi ya viungo wa liver
Binafsi nafikiri ili tuweze kupata matokeo kwa liver basi inatakiwa kuwakabia juu kama tulivyofanya kwa Man city wakati huo tukiweka tahadhali ya counter attack zao kupitia kwa washambuliaji wao Mane, Salah na fermino/Jota /Diaz.
Japo liver ni wazuri zaidi yetu lkn naamini kesho tutatoka na point
sijaweka ushabiki mimi naongelea kitu kilichopo, na labda hujui possession inavyokuwa calculated , sio kila unapozidiwa possession umecheza vibaya, nataka nikwambie unaweza ku gain possession hata 90 , in your zone,Usiandike kishabiki mkuu inabidi uelewe kwanza fundamentals, Sipo hapa kuiponda Arsenal ila nataka uelewe kitu kimoja, Unapozidiwa Possession maana yake you're too easy to keep the ball against na factor inayochangia ni kuwa hauna physicality in forward areas to press high line per 90. Sasa unaposhindwa kupress high line vs Liverpool unakuwa Forced to sit deep, sio kama unaamua wewe kukaa nyuma au kwenda mbele, ni profile & quality zitakuruhusu kufanya hayo kuzingatia na ubora wa mpinzani wako, and Liverpool have top technicians to destroy every opponent, so tupunguze mahaba tunaweza shinda ila sio kwa sababu tulimsumbua City basi itakuwa hivyo kwa liverpool.
jaribu kuelewa possession ina patikana vipi, sio kila anayezidiwa possession hana physicality , leicester alikuwa anafikisha hadi 95 in last 5 mins, lkn ana i gain wapi hiyo possession, mbona arsenal aliwin vzr tu kuwa press leicester ,Unapozidiwa Possession maana yake you're too easy to keep the ball against na factor inayochangia ni kuwa hauna physicality in forward areas to press high line per 90.
Nimeongelea Liverpool kuwa Transition threats, hii ndio sababu ya kufanya Arsenal tukae nyuma sijui kama unanielewa. Huwezi tu kufunguka against a well counterpressing team ukizingatia Liverpool ni the best team in the world kwa kuwin first & second balls. Haya mambo yaangalie structurally then angalia profile ya Mane, Salah & Diaz nadhani tutaelewana. Refer game ya Anfield we played well in the FH, ila second half Liverpool walipojua tunalack experience wakaigeuza kuwa a transition game haikupita dk 20 tulifungwa goli 3.ubora wa liver hauzuii na hautazuia arsenal kwenda mbele.like game dhidi ya city....na ukisema tukifunguka tunakula nyingi nakukatalia, ukikaa nyuma ndio unakuwa kwenye risk kubwa ya kupigwa, arteta awali alikuwa anakaa nyuma kipind hicho ana kina kola,mari,belle . ,na tunapigwa 5
liverpool ni bora , hiyo haitatuzuia kwenda mbele ,
Possession inapatikana vipi Aaron? Nini maana ya possession kwenye mpira? Labda tukiulizana maswali tutaenda sawa.jaribu kuelewa possession ina patikana vipi, sio kila anayezidiwa possession hana physicality , leicester alikuwa anafikisha hadi 95 in last 5 mins, lkn ana i gain wapi hiyo possession, mbona arsenal aliwin vzr tu kuwa press leicester ,
mfano hadi muda huu man u anaongoza possession lkn kwakukaa na mpira kwenye zone yake , lkn atm wanajua nini cha kufanya wameweka moja,
mpira sio possession
During the game, the passes for each team are totalled up and then each team's total is divided by the game total to produce a percentage figure which shows the percentage of the game that each team has accrued in possession of the ball.Possession inapatikana vipi Aaron? Nini maana ya possession kwenye mpira? Labda tukiulizana maswali tutaenda sawa.
Mkuu nachomaanisha ni kuwa, if you cant press realiby in the game kutokana na physical issues basi kuna some bad moments of the game utazidiwa possession tu, so kama mpinzani ni mzuri kusustain attacks utakuwa forced to sit deep. So kuna nyakati huwezi kwenda mbele sababu mpinzani kakuzidi ubora paka uregain energy / kuwa na foward line wanaoexcel physically & technically.jaribu kuelewa possession ina patikana vipi, sio kila anayezidiwa possession hana physicality , leicester alikuwa anafikisha hadi 95 in last 5 mins, lkn ana i gain wapi hiyo possession, mbona arsenal aliwin vzr tu kuwa press leicester ,
mfano hadi muda huu man u anaongoza possession lkn kwakukaa na mpira kwenye zone yake , lkn atm wanajua nini cha kufanya wameweka moja,
mpira sio possession
Hapo tutaenda sawa mkuu, ilibidi ujiulize kwanini Barca ana 89% & Celtic ana 11%?During the game, the passes for each team are totalled up and then each team's total is divided by the game total to produce a percentage figure which shows the percentage of the game that each team has accrued in possession of the ball.
View attachment 2152292
kuna possession yenye pass nyingi za maana, maana unapo calculate possession huangalii pass zipi za mbele zip za nyuma, unaweza kuwa na possession kubwa kumbe ni mipas ya zone yako, mwenzio possession 40 ila pass zake nyingi ni kwenye zone yako tena zile za madhara , ndio kama arsenal vs leicester, kwanini inaonekana arsenal kacheza vzr kuliko dhidi ya watford ikiwa kwa watford aliongoza possession, kwa leicester hajaongoza. ,ila aliyoongoza possession inaonekana alicheza vby,hata arteta alisema tumecheza vby, lkn ya leicester imeonekana tumecheza poa ,na possession ipo chini?Hapo tutaenda sawa mkuu, ilibidi ujiulize kwanini Barca ana 89% & Celtic ana 11%?
hata mimi ninachokuambia sio kila muda tutaenda mbele tu, ila elewa kufunguka tutafunguka tu tena ila shida , kwani lini tulifunguka mwanzo mwisho tu? unachotaka kusema wewe toka mwanzo ni kwamba , arsenal hatakiwi kufunguka sababu liverpool ni bora, kama umeangalia mech 2-3 za liverpool utaelewa ninachosema, norwich walikosa quality tu , westham , alifunguka inabobidi , na alikosa 2 big chances, kwahiyo sio kwamba ukifunguka hupati chochote,Mkuu nachomaanisha ni kuwa, if you cant press realiby in the game kutokana na physical issues basi kuna some bad moments of the game utazidiwa possession tu, so kama mpinzani ni mzuri kusustain attacks utakuwa forced to sit deep. So kuna nyakati huwezi kwenda mbele sababu mpinzani kakuzidi ubora paka uregain energy / kuwa na foward line wanaoexcel physically & technically.
Sasa Leicester kuwin possession against a high-pressing team like Arsenal, what does it indicate? Huwezi kusema kawin possession kwenye zone yake wakati Arsenal tunapress high line.kuna possession yenye pass nyingi za maana, maana unapo calculate possession huangalii pass zipi za mbele zip za nyuma, unaweza kuwa na possession kubwa kumbe ni mipas ya zone yako, mwenzio possession 40 ila pass zake nyingi ni kwenye zone yako tena zile za madhara , ndio kama arsenal vs leicester, kwanini inaonekana arsenal kacheza vzr kuliko dhidi ya watford ikiwa kwa watford aliongoza possession, kwa leicester hajaongoza. ,ila aliyoongoza possession inaonekana alicheza vby,hata arteta alisema tumecheza vby, lkn ya leicester imeonekana tumecheza poa ,na possession ipo chini?
utagundua tunapokuwa na mpira tunafanya vitu muhimu , hata ile game na city, first half walituzid possession , lkn hata pep anakubali tulimfungukia, kwanini pass zao nyingi walicheza kwenye zone yao....
mech na liverpool tutafunguka tu, kumbuka tuna structure 4-4-2 ya kudefend , tunapokuwa out of possession, so usiseme lazima tufosiwe nyuma tu.... uwepo wa xhaka na partey unaturuhusu kuna muda na sisi kufunguka ,
Ok mkuu tufanye tunaongea lugha moja, tuangalie Atletico Madrid.hata mimi ninachokuambia sio kila muda tutaenda mbele tu, ila elewa kufunguka tutafunguka tu tena ila shida , kwani lini tulifunguka mwanzo mwisho tu? unachotaka kusema wewe toka mwanzo ni kwamba , arsenal hatakiwi kufunguka sababu liverpool ni bora, kama umeangalia mech 2-3 za liverpool utaelewa ninachosema, norwich walikosa quality tu , westham , alifunguka inabobidi , na alikosa 2 big chances, kwahiyo sio kwamba ukifunguka hupati chochote,
tena wakicheza high line , ni rahisi kuwa beat, high line yao ni superbup anapokuwepo thiago ,