Hii ni 4-2-4Anaongelea pisition anayocheza Gabriel Magalhaés, no. 6 ni left half, ukisoma inverting the pyramid utaona English back four would read, from right-to-left, 2, 5, 6, 3. Naona Kagusia suala la Saliba i hope Mikel Arteta anaziona hizi comment.
Nasafar ndefu kuelewa hv vitu, kwahyo kamaanisha Gabriel na white wanaweza take the same role? Afu huyo the rock anae mzungumzia acheze na mmoja kat ya white au Gabriel? au aongezwe wacheze back three? maana naona white na Gabriel wanna quality tofaut ambazo zote n muhimu ziwepo kwenye timu.Anaongelea pisition anayocheza Gabriel Magalhaés, no. 6 ni left half, ukisoma inverting the pyramid utaona English back four would read, from right-to-left, 2, 5, 6, 3. Naona Kagusia suala la Saliba i hope Mikel Arteta anaziona hizi comment.
Aah hapa nmeanza kupata picha,Hii ni 4-2-4 View attachment 2150508
haikuhitaji kurunzi kujua arteta ni nani, mech ya kwanza tu mimi nilimkubali, kama uliiona arsenal ya emery, then arteta anaipokea mech ya kwanza tu, unaelewa ni kocha wa aina gan, mimi nilimsikiliza wenger, pep guardiola wakimuongelea arteta, sikuwahi kuwa na wasiwasi nae,Ni vizuri. Mwanzo ni kweli alionekana kama hawezi. Sasa anaonekana kama anaweza weza. Hata mimi na wengineo huenda tukawa kama Owen. Haimaniishi tunajikana, inamaanisha ametushawishi. Kitu ambacho ni kizuri kutokea.
Torreira arudi ndo ninaye muamn anaweza aka pair vzur na partey kama hatutasajili, wamuuze elnenyARSENAL KUPATA EURO MIL 25/26 KWA TOREIRA NA GUENDOZ
Fiorentina are more than happy with Lucas Torreira. Talks on to reach an agreement on permanent deal with Arsenal - there’s €15m buy option clause included in loan deal. #AFC
Arsenal are open to let him go, it’d mean €25/26m from Torreira-Fiorentina and Guendouzi-OM deals.
Kila mtu na macho yake, huenda kocha anaona torreira hana kitu anachotaka, kwangu torreira ni mchezaji mzuri namuelewa kuliko elneny na xhaka.Torreira arudi ndo ninaye muamn anaweza aka pair vzur na partey kama hatutasajili, wamuuze elneny
Hawez kurudi huyo sio type ya mpira anaoutaka arteta, alishamkataa mapema tu... hata fagia fagia iliyofanyika , amebaki elneny tu, na kwa mbali xhaka, japo mm namuona bado yupo ,hata kama tutasajiri mbadala wakeTorreira arudi ndo ninaye muamn anaweza aka pair vzur na partey kama hatutasajili, wamuuze elneny
Falsafa ya arteta toka anafika arsenal ni kucheza 4-3-3 kama pep., yenye dabo no.8/10 wawili kama pep, now yupo mwishoni mwishon, ndio maana sasa anamtumia xhaka na ode kama doube no.10/8 ., kwa namna hiyo toreira hawez kufit maana cha kwanza kabisa lazima wawe na uwez mkubwa wa passKila mtu na macho yake, huenda kocha anaona torreira hana kitu anachotaka, kwangu torreira ni mchezaji mzuri namuelewa kuliko elneny na xhaka.
Ulichosema kimekua.Hii game ngumu kwetu kitendo cha chelsea kushinda kinaharibu utaratibu,mara nyingi weekend mkubwa mmoja lazima apoteze point,aidha tushinde kama man city hajacheza ajiandae kupoteza point week hii.
Enzi zangu za kubet leo ilikuwa ni siku ya kupiga hela... nimetembea saana na upepo wa namna hii, ni mara chache mnoo timu zote kubwa kushinda wikiend moja, halafu game za j3 usiku pia huwa sio nzuri kabisa, kulikuwa pia na game zile za mapema, japo siku hizi naona upepo wake umepoa poa, zamani ilikuwa game ya mapema zile saa 7 mchana hv 8,8 hivi timu kubwa kutoboa mbinde.Ulichosema kimekua.
City kadondosha points mbili.
Makaveli, LT11 hana uwezo wa kucheza holding mid kwenye Modern footie ya Mikel Arteta, Partey imemchukua muda kuimaster hiyo nafasi, Kwa game ya Mikel / Pep/ klopp control ya timu inaanzia kwa a Holding mid, hata Arsenal ikitokea Partey yupo Worse Arsenal nayo inakuwa worse. Kinachotubeba this season apart from risky tulizokuwa tunasema kuhusu partey but he has been the best holding mid in the league this season. Partey alibadilika baada ya kujua project ya Arteta haivumilii ungese.Kila mtu na macho yake, huenda kocha anaona torreira hana kitu anachotaka, kwangu torreira ni mchezaji mzuri namuelewa kuliko elneny na xhaka.