makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Sio uchuro chief, hapo nyuma hii ilikuwa ni kawaida saana, sijui siku hizi sababu mambo yalinitinga sikifatilia mpira kabisa hapa kati, enzi nina beti basi hiki kitu kilikuwa kinanipa hela, uchuro mwingine ulikuwa ni simba na man u, wakicheza siku moja, basi mmoja lazima afe mwingine ashinde, ni mara moja tu huu mtiririko uligoma, siku hiyo man u kafa na simba akafa kwa yanga..Acha uchuro!.. Hii game tunashinda! Hawa Leiciter tunawamudu kabisa
Subiri dk 90. Japo naona tunaupiga mwingi mpaka una mwagika.Tumeshawawasha tayari!
Rowe in
Martinel false 9
We need to dominate midfielde first
Then we will look Cedric at different angle