Ndio maana nikasema tactical setup inaokoa baadhi ya madhaifu yake, Gabriel is very sloppy, watch football with your eyes, Nakupa task muangalie in possession anavyopata tabu, he is not confident on the ball kitu kinachoiweka team in a difficult situation. Ondoa Ben White ingiza Rob holding uone kama kuna progression itafanyika, the defense will look shaky, Partey itabidi kucover more than one roles ili timu iweze kuprogress up the pitch, vitu ambavyo vipo natural kwa William Saliba. Saliba will replace Gabriel easily hata isipokuwa Saliba Arsenal will bring another LCBhizo sifa mbaya kwa gab unazosema mimi binafsi sizioni kiasi hicho, na amekuws moja ya wachezaji bora hadi sasa msimu huu, lait huo udhaifu unaousema kwa gabi ,sidhani kama tungekuwa hapa tulipo, kila mwez amekuwa hakos kwenye list among best player ,
Big No mkuu, progression ya Arsenal imerely kwa Ben White na Partey sababu Gabriel hawezi kufanya Central progression, he is not technically secured, ndio utaona every time anacheza backpass / sidepass, Mchezaji unampima kwa pass selection ndio maana binafsi nampendaga Granit Xhaka kwenye hiyo sekta ila for now hafanyi vizuri kwenye role yake mpya ya LCM.Gab ni beki mzuri sana tu, ameshakuwa beki bora huko ligue one, tatizo wewe unaenda kumuangalia gab atakosea nini,
gab ni moja ya wachezaji bora wa arsenal msimu huu, gab kupiga back pass, sio tatizo ,buildup ya arsenal ina option zaid ya tatu, lazima apeleke kwa tierny, rams, au white
kuhusu gab nilimfatilia toka lille, na hasa alipoanza kuhusishwa kuja arsenal, huyo ni beki mzuri, sijawahi kuwa na hofu naye hata kidogo, profile ya gab wala haibebwi na mfumo, wachezaji ndio hutengeneza mfumo, arteta alipomleta ilikuwa ni long term tofaut na kina mari ,luiz,Ndio maana nikasema tactical setup inaokoa baadhi ya madhaifu yake, Gabriel is very sloppy, watch football with your eyes, Nakupa task muangalie in possession anavyopata tabu, he is not confident on the ball kitu kinachoiweka team in a difficult situation
simple tu,hayo majukumu sio ya gab, kwa structure ya arteta, ndio sababu ya arteta kutoa paun mil 50 ili kumpata ball playing CB, majukumu ya gab hata profile zake tofauti na white, labda kama unataka tucheze na CB wawili wenye profile moja, buildup ya arsenal huwa inamuacha tierny kama free , ni 3 CB Na kipa, hapa kuna tomiyasu/cedric, white,na gab, tierne anasogea juu kidogo, gab mipira yake yote ni either kwa rams,tierney akibanwa kupeleka kwa partey anayekuwa karibu na Cbs, mwenye majukumu ya ku break low blocks, kusogea na mipira hata kwenye mid ni white, hiyo ni structure ya arteta ipo hivo ,Gabriel hawezi kufanya Central progression, he is not technically secured, ndio utaona every time anacheza backpass / sidepass,
Kuprogress mpira nalo ni jukumu la mtu husika? That's patient passing football na lengo ni kuaffect opposition defensive pattern so opportunity ikitokea utasema ngoja nimpe flani ndio aprogress kwamba hili si jukumu langu?simple tu,hayo majukumu sio ya gab, kwa structure ya arteta, ndio sababu ya arteta kutoa paun mil 50 ili kumpata ball playing CB, majukumu ya gab hata profile zake tofauti na white, labda kama unataka tucheze na CB wawili wenye profile moja, buildup ya arsenal huwa inamuacha tierny kama free , ni 3 CB Na kipa, hapa kuna tomiyasu/cedric, white,na gab, tierne anasogea juu kidogo, gab mipira yake yote ni either kwa rams,tierney akibanwa kupeleka kwa partey anayekuwa karibu na Cbs, mwenye majukumu ya ku break low blocks, kusogea na mipira hata kwenye mid ni white, hiyo ni structure ya arteta ipo hivo ,
huwez kulazimisha hiyo shughuli aifanye Cb,gab.... labda ubadili mfumo, na ukumbuke wachezsji ndio hutengeneza mfumo kutokana na profile zao
De Jong ana tatizo la Xhaka la mpira ukipokonywa unaweza usimuone akiukimbiza.Mungu ajalie tumpate de jong wa Barca asimame nafasi ya xhaka
Inategemea unamlinganisha na nani. Kwa sababu kuna CB ni wazito kuliko yeye na kazi zinaenda mfano Bonucci na Chiellini na kuna wazito kazi haziendi mfano MaguireIla mimi namuona Gab ni mzito sana
Aymeric Larpote? he is a right-footed player and Of course he is not a ball-playing CB, right, Is he ?Ball playing defender wengi ni right footer hii inawasaidia katika long balls na pasi kuzipiga kati.
Magalhaes hiyo kazi ingemshinda kutokana na kua left footer.
So hizo sideway passes kwa Tierney au White ni sahihi kabisa.
Gabi hawezi kumfikia VDV hata siku moja, he's not good enough, ana mapungufu mengi mnó. Mwanzo hata mimi nilihisi yupo off Ila ukweli ni kuwa sifa tunazompa ni zaidi ya uwezo wake.Gabi anahitaji maturity tu kiasi fulani ila jamaa ni beast. Akiwa mikononi mwa kocha bora huyu atamfikia VVD wa Liverpool nadhani
In my view namuona maghales kama vidic ambaye kazi yake kubwa ni "destroyer".white hawez kufanya kaz ya maghales kwa aina yake ya ukabaji.Akipatikana beki mwingine ambaye atakuwa ni upgrade ya gab it's okay awe replaced,ila so far so good the guy is phenomenalRuben Diaz is as good as Gabriel magalhaes, both are not ballplaying defenders, that's why Diaz never progresses the pitch, he gives so many balls away, he disposseses passes, he is not technically secure, always keeps playing sidepasses and backpasses, and of course that's how City win the league.
Mkuu kama ukichukulia kigezo Cha "how far" kwa club yake ya sasa nadhani utakuwa unamwonea maana hata ramsdale alitoka kuahusha timu and he is doing fine.binafsi sijawahi kumuwazia hata kwamba anastahili kuwa arsenal player unless coach awe anaona kile ambacho technically sikionNashangaa watu kumpigia chapuo Calvert lewin. Sioni chochote alichonacho to attract Arsenal interest. Tuanzie hapa, how has he helped his team which is hanging one point from relegation territory?
Hebu nimuangalie tena leo labda ana vitu ambavyo so far macho yangu yameshindwa kuviona
Hiv bro will, ushawai kumwona white akimkaba mpinzan ile man to man alafu akawin battle?Kuprogress mpira nalo ni jukumu la mtu husika? That's patient passing football na lengo ni kuaffect opposition defensive pattern so opportunity ikitokea utasema ngoja nimpe flani ndio aprogress kwamba hili si jukumu langu?
Unadhani kwanini tulikuwa na Slow buildup last season? ukiachilia mbali kutokuwa na AM hii ilichangia for some of Arsenal's attacking issues.
So we needed more quality to build play faster sababu Gabriel alishindwa, Then we signed Ben white na unaona jinsi tunavyobuild play fast right now, White is our best CB right now anafanya majukumu mengi kumsaidia Gabriel, he cleans everything. Gabriel is not technically secured hiki ndio kinamcost and he costs us too. Unadhani Kuna ubaya gani wa kuwa na wachezaji wawili wenye uwezo wa kubuild play quicker in either side?
Yaan ukitafuta update ya gab sijui ata umchukue nan? Maan ata saliba hamfikii sijui labd Coady wa wolves ambae nae naona Kama level ziko sawa tu, kifup Gab apewe mda ana potential kubwa sanaIn my view namuona maghales kama vidic ambaye kazi yake kubwa ni "destroyer".white hawez kufanya kaz ya maghales kwa aina yake ya ukabaji.Akipatikana beki mwingine ambaye atakuwa ni upgrade ya gab it's okay awe replaced,ila so far so good the guy is phenomenal