Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

So William Saliba in, Top CM in, Top CF in and we become giant again. Arsenal are back
Saliba hakufurahia kuwepo Arsenal maana alikuwa hachezi. Sijui kama atataka kurudi nadhani atapendelea kutafutiwa transfer. Pia nafikiri Arteta hajui atamtumiaje au sio aina ya beki anayemtaka. Nasubiri kuona hili litaishaje.
 
Sometimes Granit Xhaka akishavutaga bangi zake chooni kuna maamuzi ya kijinga sana huwa anayafanya na always yanatu cost.

Ila huyu mwanaume akiamua kukichafua kweli sidhani kama kuna mtu atatamani aondoke.

Jana yeye na mishikaji wake TP5 walikichafua sana pale kati.

Kuna wakati alikua ana switch uwanja kwa kupiga long balls kwa pepe kule juu..

TP5 jana alinikumbusha enzi zangu wakati nasakata kabumbumbu,kuna muda alikua anatema mate kulia alafu anafukia kushoto,Kiungo unatakiwa uwe vile yaaani 'Muongo muongo'.

Saka Jana alikua na siku mbaya kazini,,nafikiri angekua katika 'peak' yake game mapema ingeisha ile.

MØ huyu dogo ana v pass fulani hiviiii amazing,,Ila changamoto kwake ni strength maana battle za 1 v 1 nyingi amekua akizishindwa,Ila his brain is like computer,,,ana akili mno.

Japokua kuna baadhi ya watu humu mnasema dogo Nketiah mvivu ila naona jana alikua Sharp kidogo.

Pepe ana kipaji kikubwa mno ila kinachomponza huyu dogo sio mtulivu na hataki kujifunza, kwasababu kila siku anafanya makosa yale yale..

Lacazette is not a clinical finisher,ila kinachompa credits tu ni kua akiwa pale mbele mabeki huwa hawatuliii,jamaa anajua kusumbua sana mabeki..
 
Mkuu, Saliba atarudi na atachukua namba, Arteta hanaga rafiki wa kudumu kama humpi anachotaka, walikuwa wanasema hampendi Martinelli sijui amemuua kiwango, wako wapi sasa!

Saliba atarudi kujaribu his chance na kitu kizuri ana kipaji kikubwa yaani tukizingua sisi huyu anaenda Madrid / Barcelona.
 
GX anajaribu his level best lakini bado kufit kwenye hiyo role mpya, jana ameExcel sababu muda mwingi amepata an increased time/space, shida ya seniors wetu hivi vitu hawafanyi Reliably, no consistency kama ilivyo kwa City/Liverpool,

We need a more suitable LCM mwenye profile ya kuexploit the left half space between the lines, a player who can attack from deep areas mwenye profile ya Ikay Guendogan. Nadhani ni sababu Arteta anamtaka Fabian Ruiz to upgrade this team and bring qualitative difference.
 
Let's hope for the best.
 
Fabian Ruiz is left footed, isn't it? So if he comes in he is going to exploit that left haf space at LCM.
 
Mkuu, Saliba atarudi na atachukua namba, Arteta hanaga rafiki wa kudumu kama humpi anachotaka, walikuwa wanasema hampendi Martinelli sijui amemuua kiwango, wako wapi sasa!

Saliba atarudi kujaribu his chance na kitu kizuri ana kipaji kikubwa yaani tukizingua sisi huyu anaenda Madrid / Barcelona.
Anatakiwa aoneshe kitu sasa
 
Wachezaji wa kiitaliano nawapenda sababu wana high Tactical education, Serie A binafsi naiona as the best tactical league in the World. F . Ruiz kacheza Napoli ila pia he is spaniard, Guess what? Arsenal hawachelewi kubadilishia Maamuzi na kutafuta option tofauti.
 
Umemwona akicheza!?

Gabby sio mbaya lkn sina hakika kama anamzidi Saliba kwa all around game. Nadhani hadi akipewa nafasi ya Kucheza na White au Na Gabby tutajua who is better kwa sasa tuhifadhi maoni yetu.
Wawepo wote watatu plus Holding ili kufanya competition kuwa kubwa, we need competitive players.
 
GX anajaribu his level best lakini bado kufit kwenye hiyo role mpya, jana ameExcel sababu muda mwingi amepata an increased time/space, shida ya seniors wetu hivi vitu hawafanyi Reliably, no consistency kama ilivyo kwa City/Liverpool,

We need a more suitable LCM mwenye profile ya kuexploit the left half space between the lines, a player who can attack from deep areas mwenye profile ya Ikay Guendogan. Nadhani ni sababu Arteta anamtaka Fabian Ruiz to upgrade this team and bring qualitative difference.
Mkuu Fabian Luiz simfatilii kwakua Seria A siifatilii kivile.

Vipi jamaa ana attributes zipi?
 
Gabriel analack technical security inapelekea anashindwa kuhold high line press kwenye baadhi ya mechi, specially against aggressive teams which press high, he is so passive mentally to the point that the team is forced to sit off because of him hivyo at times structure nzima ya Arteta inafia kwake. Ametucost points nyingi mno.
Hii hapana, Gabriel n mchezaj wetu muhimu sana, ametu sahaulisha koscienly mapema. Siri ya ubora wetu kule nyuma n yeye, hayo makosa mengi labda unikumbushe, lakn navyojua mm makosa anafanya lakin sio ya kumsondea kidole, kwa sababu hakuna mchezaj asiye fanya makosa.

Saliba kamuangalie tena, ana mengi sana ya kujifunza kwa Gabi the great man
 
Back
Top Bottom