Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Nyie arse8 kwa utumbo huu ndio munaitaka top four ??
Tajiri wenu, waingereza wanataka kumfilisi, kaa mkao wa kulia
Nyie arse8 kwa utumbo huu ndio munaitaka top four ??
not our best day but we got the win. hongereni gunners
I like semedoSemedo anataka Barcelona ijute kumuachia.
Tunatofautiana mtazamo na hiyo pia sio dhambiMkuu wachezaji wanaoirudisha nyuma Arsenal wote nawaelewa vizuri , ana mapungufu mengi sana structurally, Paka sasa hivi bado anajifunza na ni mwaka wake wa pili Huu, 2 full seasons.
Already brokenBruno Lage hasn’t lost this season when his team score first, and wolves have good rekord at Emirates
alitusaidia sana alivyoondoka uwanjani. i hope he's ok.I like semedo
I like him reallyNi mchezaji mzuri sana, mpaka Martinelli anamkimbia
😂sidhan kama atasogelea mic....Namsubiri Neves
Saka was so poor todaywapumzike kidogo tuanze upya. mawazo yangu ni odegaard anabidi apate mipira zaidi. saka na martinelli wanabidi wafanye runs ila naona saka hayuko kwenye mood. Partey aache kushoot 😃😃 na xhaka anabidi aongeze sharpness. Timu nzima iongeze tempo kidogo maana leo hatuwezi kufunga kwa kuspread mpira wide na kucross, lazima twende kwa runs in behind na one touch passes kuingia na mpira ndani ya box au nje kutafuta shots. ila lazima tuwe sharp na tempo iwe juu.
Yeye na Laca.Saka was so poor today