Wolves leo naona atakuwa amejipanga vizuri mno. Nitafurahi tukishinda ila nafikiri wao wana uwezo mkubwa tu kutufunga.Afe kipa afe beki. Tunaondoka na point 3
Uzuri wake hadi dakika hii arsenal yenyewe inajua inataka nini
Tena tupo nyumbani (geto) tutampelekea moto dakika 90+
#COYG
Ni yeye na purposive movements.Wolves leo naona atakuwa amejipanga vizuri mno. Nitafurahi tukishinda ila nafikiri wao wana uwezo mkubwa tu kutufunga.
Sidhani kama ni issue ya uwezo.Wolves leo naona atakuwa amejipanga vizuri mno. Nitafurahi tukishinda ila nafikiri wao wana uwezo mkubwa tu kutufunga.
game iliyopita kacheza 3-5-2Nimeona kocha wa wolve anatumia 3-4-3 kwenye game ya leo
ana chuki ya wazi kabisaIle ni offside ya wazi ila kaitisha var