Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Si
Kumbuki nilimwambia nani kitu kama hiki.
 
Zaha ni kina saint maximin, mie nawaita kazi bure.
Kumfananisha Maximin na Zaha ni matusi mkuu, Maximin is 23, he only needs good tactical knowledge from a top tactician, ngoja tuone atavyoexcel under Eddie howe paka sasa ndio engine ya timu, kuna siku mtasikia dogo anaenda Liverpool labda mtampa heshima anayostahili.
 
Shida ya maximin ni pale mwisho, anaweza akafanya kazi kuubwa mwishowe akaharibu kabisa, hayo ni mabadiliko ya mbeleni, mimi namzungumzia wa sasa, kuna wachezaji kibao toka timu moja walikuwa wa hovyo kwingine wakaenda kukiwasha.
 
Watu wa mpira naona tuna tabia ya kuchukia mchezaji mwenye manjonjo mengi, kwa Allan saint Maximin sishangai sababu yupo jamaa yangu flani ananiambiaga Neymar ni mchezaji wa kawaida, na miaka yote anasimamia hapo.

Maximin ni winger wazee, ukitaka winger asihold mpira, jiulize amekua kiungo huyo? Kazi ya kumove the ball fast maeneneo tifauti ni kazi ya mids mfano Xhaka/ Verratti/ Rodri.

Mfano kiungo kama Renato Sanches ana tendency ya kuhold sana mpira / kufanya dribbling / take ons utadhani ni winger, wakati key role kwake ilitakiwa kumove mpira haraka kwenye key areas, ndio unaona timu kubwa kama Bayern zinamshinda, sababu sio type ya mchezaji wanayemuhitaji ila kwa timu kama Lille anaexcel sababu timu inarely kwake for progression.

Winger anaweza kukaa na mpira paka defensive pattern ya mpinzani itapokuwa unlocked, Leo nacheki mechi na jamaa anasema Saka anakaa sana na mpira anaifelisha timu, hapo ndio nikajua kumbe uelewa wa mpira tunatofautiana.

Allan saint Maximin ni mchezaji wazee japo nakubali kutofautiana.
 
Swali: Kwanini alivyotoka Lacazette na kuingia Nketiah, Nketiah alipewa captain armband ili ampe xhaka, lakini xhaka aliikataa na badala akapewa TK?
 
Shida ya maximin ni pale mwisho, anaweza akafanya kazi kuubwa mwishowe akaharibu kabisa, hayo ni mabadiliko ya mbeleni, mimi namzungumzia wa sasa, kuna wachezaji kibao toka timu moja walikuwa wa hovyo kwingine wakaenda kukiwasha.
Saka mwenyewe hajamaster final third decision making but wote ni Young kings hawa. Angalia creativity vingine vinakuja na age.

In my opinion Maximin under Steve Bruce hawezi kuwa the same under Klopp/ Arteta.
 
Messi ana manjonjo na ni winger sawa sawa na Mane, Salah, Sterling na Mahrez.

Hao wote wanahold mipira lakini timu ikiwa kwenye move kutafuta goli hua hawaizuii timu kwenda mbele kwa kutaka kuonyesha manjonjo badala yake atatafuta pa kuupenyeza mpira. Ili move iendelee.

Mfano Maximin akiwa nje ya 18 angalia mwisho wa manjonjo yake ni nini? Kama siyo kupokonywa mpira basi ni kupiga back pass na potential threat inakua contained.

Lakini Foden, Saka, Salah, Mane, Messi wakiwa nje ya 18 wakifanya manjonjo unatarajia itoke assisst au ashuti. Akinyang'anywa unajua kabisa huyu hii siyo kawaida yake, tofauti na Maximin akipokonywa mpira unasema tu 'Ah ndiyo alivyo huyo' Hapo ndipo naona Maximin hapana, ana skills lakini hazitumii kuinufaisha timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…