Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gabriel Martinelli has been playing as a #9 in training sessions at London Colney. [@ChrisWheatley_]
 
martinelli bdo san kucheza kama target man ,uyo n winger.. anawez kufunga kutokea pemben au akafany runs z hatar z kuingia kwnye box kw ajil y ku score.
Waja watakubishia, ila kuwa CF kuna vingi sana Mchazaji anahitaji kuwa navyo.
1. Commanding your area,
2. Movement and predicting where to receive the ball
3. Link up play with other supporting forwards

Martinelli bado kufikia hapo, may be with time and akisoma his responsibilities akitokea pembeni anaweza kuja kuwa mtu na Nusu kama Alivyofanya our own TH14
 
I hope siku moja nitaona final UEFA Arsenal vs Barca / Arteta vs Xavi hernandez na wote wakiwa kwenye ubora mkubwa.
kwenye pes na fifa ni rahs ila ukisubr uhalisia utakua ushaanza kua udongo tim lina lokonga unategemea wawafikishe top 4
 
lukaku tumemleta kuwafunga nyie2 ngoja uone msm uu unapigwa ndan nje
Unanunua mshambuliaji kwa 100 M.

Unapata kombe la plastiki lililotengenezwa lifanane na la dunia.

Muda huo unashangilia City anaongeza gape la points mpaka kufikia 16 katika michuano ambayo ina kombe ambalo it really matters.

Hii siyo observation yangu
 
Unanunua mshambuliaji kwa 100 M.

Unapata kombe la plastiki lililotengenezwa lifanane na la dunia.

Muda huo unashangilia City anaongeza gape la points mpaka kufikia 16 katika michuano ambayo ina kombe ambalo it really matters
mwisho mwa msimu ukifika tutaulizana umetoka na nn ww umemnunu pepe kale kwa80 kakupa nn mm tayar nna kombe2 ndan ya kabat
 
So Youri Tielemans alichokifanya jana vs West ham ni kuhakikisha akija Arsenal anacheza UCL football!
 
Timu la kroenke limechukua ubingwa wa ligi ya american football, huenda sasa akili ya kroenke ikatulia akafanya vya maana na huku kwetu, maana hali ni tete🤔
 
IMG_20220213_085527.jpg

Hivi ninyi arse8 Kuna swali nilitaka kuwauliza làkini naona Kama nawaonea tu.
Unajua nini,!? Hivi nilitakaa kujua kama mumeishawahi kuwa na muchezaji aliyeshinda karibu makombe yote.
Lakini nikagundua kwamba ninyi takataka hamuna hata Europa ..sembuse Supa Cup hahaha
Sasa hii timu yenu Ina malengo gani?😂

#CFC💙💙💙
 
Arsenal are the only team not to concede from a corner in the Premier League this season
 
Takehiro Tomiyasu is back in training. At this rate only Arsenal can stop Arsenal from getting top 4.
 
Back
Top Bottom