Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah Arsenal sisi tutatukanwa jamani hadi tukome
Kama huna lolote la maana dunia hii lazima udharaulike tu..ninyi arse8 Muna kombe gani la maana tangu enzi za Wenger na kabla yake Hadi sasa??

Kitu pekee munakumbuka ni kipigo Cha bao nane mlichopewa na nyumbu na ndio kuzaliwa kwa arse8.😂😂
 
Waespaniola wanajua sana mpira, kuna Father Pep Guardiola, Kuna Son Mikel Arteta, now Xavi hernandez na wote walikuwa Midfielders /controllers.
 
Waespaniola wanajua sana mpira, kuna Father Pep Guardiola, Kuna Son Mikel Arteta, now Xavi hernandez na wote walikuwa Midfielders /controllers.
I hope siku moja nitaona final UEFA Arsenal vs Barca / Arteta vs Xavi hernandez na wote wakiwa kwenye ubora mkubwa.
 
Wewe takataka kweli ..sasa kepa unamfananisha na Nani hapo arse8? Kepa katupa Europa, supercup, tuko efl fainal ni kazi ya kepa ..sasaa wewe mbuzi wa arse8 unakuja leta ngebe hapa ..ninyi 80M mliyolipa kwa Pepe imeleta impact gani hapo clabuni kwenu nyie mbuzi wa London?
Inawezekana maneno ya aina hii ndio style yako ya ushabiki.

Kila la kheri huko ignore list ninakokupeleka.
 
Nyinyi kunguni the world is blue... Huko level ya London is blue tumeshatoka tumewaacha Crystal Palace na Fulham waendelee kubishana.
 
Baada ya Pep Guardiola kuondoka City wataanza kustrugge cuz wamerely sana kwenye qualitative sytem of Pep Guardiola, kama wanampata Viera its Ok but Viera isnt Pep Guardiola.

Hii maana yake the next dominance phase is between Arsenal & Liverpool kutokana na recruitment system zilizopo kwenye hizi timu mbili, kitu kingine muhimu kwenye hizi timu mbili ni kuwa na top tacticians in Mikel Arteta / Jurgen klopp hata Stivie G kama atamrithi Klopp.
 
Back
Top Bottom