Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

The Arsenal remaining 16 games wanacheza Ugenini na Westham na Chelsea tu among timu zinazowania European football next season
 
1) Ramsdale & Leno
2) Tomiyasu & Cedric Soares
3) Tierney & Tavares
4) Ben White & Holding
5) Gabriel & Holding
6) Partey & Elneny
7) Saka & Pepe
8) Xhaka & Lokonga
9) Lacazette & Nketiah
10) Odergard & Emile Smith Rowe
11) Martinelli & Geraud Hutchinson/ Miguel Azeez.

Sasa Edu na Arteta wakiangalia hiyo squad wanaona kabisa we can do the last 16 games with this squad.

NOTE: These players only have 16 games to finish the season
 
Watamtumia tu. I think Newcastle will survive relegation and then after three years watakuwa nao ni timu kubwa na nzuri sana.

Mpira pesa na matajiri wa kiarabu hawatanii
Nilitamani nimuone jamaa. Ingawa review zinasema ni wa kawaida ila nilitaka nimuone.

Also Coutinho angekuja Emirates bwana
 
Patson Daka ana traits nzuri za ST lakini hafurahishi kumuangalia
 
No Santo Wolves alikua ameifanya ikomalie timu kubwa huku akipigwa kijinga na mid table na mpira wao ulikua wa hovyo.

Sasa hivi ukiiangalia Wolves unaona wanavyoanza kutafuta goli na kulinda.
wakikutangulia umeisha, lage yupo vzr sana

leo kaja na 3-5-2,

dhidi ya arsenal alikuja na 3-4-3 akitegemea arteta atakuja na 4-2-3-1

akakutana na 4-3-3 hybrid ya 4-2-3-1
Xhaka alisogea juu kidogo upande wa kushoto kama namba 8 wa chini ( deeper 8 ) huku Odegaard akiwa namba 8 wa juu ( advanced 8 ) dhumuni lake ni kwanza kwa Xhaka kumkabia juu Ruben Neves asipige sana sana lakini pia kutengeneza combination ya wachezaji watatu kushoto kwao ( Xhaka Tierney na Martinelli )
Upande wao wa kulia Arsenal nao ilikuwa hivyo hivyo Saka Odegaard na Soares ....Arteta alitaka kutengeneza idadi kubwa ya wachezaji pembeni ya uwanja ( creating overloads ) ili kuwarudisha nyuma wingbacks wa Wolves nyuma lakini pia kuwatoa kwenye nafasi zao Kilman na Saiss kwenda pembeni kusaidia na matokeo yake kuivunja BACK 5 yote .
1644702325373.png

next game emirates sijui atakuja tena na 3-4-3 au 3-5-2
 
View attachment 2118693

next game emirates sijui atakuja tena na 3-4-3 au 3-5-2
Kwa ambitions za wolves Lage ni kocha mkubwa sana.

Wolves ambition ni kubaki ligi kuu tu. Unless mmiliki wao abadili hayo maamuzi msimu ujao.
 
Back
Top Bottom