Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Contract renewals for Gabriel Martinelli, Bukayo Saka & William Saliba are expected to be on the agenda for Arsenal in 2022. Current indications are that Saliba is minded to return to Arsenal next season & compete for a first-team place.

@TheAthleticUK
 
Gabriel Magalhães is such a special player. Arsenal haven’t particularly been blessed in the central defender department for years. The fact he’s only recently turned 24 and his English is improving. He’s only going to get better and better. The most important player for me.
 
Marefa wanaoongoza kuipatia arsenal red cards

REd cards.jpg
 
TAKWIMU :

Arsenal wameruhusu magoli 3 tu katika mechi 7 za mwisho kwenye EPL huku magoli 2 yakiwa ya penati.
Arteta kajitahidi sana kujenga solid defensive unit, naamini next season ataweka kipaumbele kwenye striking force, rumours are that Lacca won't be offered a new deal, but reinforcement will be made hasa no.9 anayeweza ku guarantee 20+ goals per season.
 
EPL hiyo Mkuu, we unahisi ni striker Gani anaweza kukupa guarantee ya 20+ per season ambae anaweza kwenda Arsenal?
 
A more advanced midfield role for Xhaka katika michezo ya hivi majuzi (wakati yeye na Partey wanacheza). Inaonekana ni aina gani ya kiungo Arteta anamuhitaji msimu huu wa joto

Arsenal wamezoeleka kucheza 4-2-3-1 lakini Arteta dhidi yd wolves alibadilisha na kutumia mfumo wa 4-3-3 Xhaka leo alisogea juu kidogo upande wa kushoto kama namba 8 wa chini ( deeper 8 ) huku Odegaard akiwa namba 8 wa juu ( advanced 8 ) dhumuni lake ni kwanza kwa Xhaka kumkabia juu Ruben Neves asipige sana sana lakini pia kutengeneza combination ya wachezaji watatu kushoto kwao ( Xhaka Tierney na Martinelli )
Upande wao wa kulia Arsenal nao ilikuwa hivyo hivyo Saka Odegaard na Soares ....Arteta alitaka kutengeneza idadi kubwa ya wachezaji pembeni ya uwanja ( creating overloads ) ili kuwarudisha nyuma wingbacks wa Wolves nyuma lakini pia kuwatoa kwenye nafasi zao Kilman na Saiss kwenda pembeni kusaidia na matokeo yake kuivunja BACK 5 yote .

1644651824307.png
 
EPL hiyo Mkuu, we unahisi ni striker Gani anaweza kukupa guarantee ya 20+ per season ambae anaweza kwenda Arsenal?
EPL hiyo Mkuu, we unahisi ni striker Gani anaweza kukupa guarantee ya 20+ per season ambae anaweza kwenda Arsenal?
kwani auba alikujaje? kwenye list ya strikers kuna victor osmhen, lewin, isak, n.k

"Arsenal will 100% sign a top striker in the summer. They had many names in their list, but they're not available in the January window."🔴 #AFC

(@FabrizioRomano via @podcastherewego)
 
kwani auba alikujaje? kwenye list ya strikers kuna victor osmhen, lewin, isak, n.k

"Arsenal will 100% sign a top striker in the summer. They had many names in their list, but they're not available in the January window." #AFC

(@FabrizioRomano via @podcastherewego)
Auba alikuja Arsenal ya Wenger ambayo kiukweli Champions league kuplay ilikuwa ni jambo la kawaida kwa sasa nyakati zimebadilika Arsenal hii ambayo kucheza Champions league ni ndoto kuna mdau kauliza ni player yupi kwa sasa anayeweza kuja Arsenal akaoffer 20 plus goals ni hakuna may be Arsenal this season afuzu Champions league otherwise tutapata forward wa kawaida tu ambaye atakuwa hana utofauti na Laca or Nketiah

Hao mafoward ambao umewamention kiukweli kuja kuscore 20 plus goals consecutive seasons sioni may be neema iwaangukie Arsenal
 
kwani auba alikujaje? kwenye list ya strikers kuna victor osmhen, lewin, isak, n.k

"Arsenal will 100% sign a top striker in the summer. They had many names in their list, but they're not available in the January window." #AFC

(@FabrizioRomano via @podcastherewego)
Mkuu wakati Auba anakuja Arsenal mpira ulikuwa bado haujafkia hapa ulipo, Yani saiz mchezaji ata hajaprove ndio unampata Kwa bei ya zamani ya Auba

Kwa uwezo wa Auba kile kipindi ndio ingekuwa Leo unadhani angeuzwa bei Gani? Isak na hao uliowataja sidhani kama unawaweka kwenye kundi la wachezaji ambao wanakupa 20+ goals EPL kama alivosema mdau pale juu

Na istoshe kile kipindi Arsenal ilikuwa na kocha ambae anashawish wachezaji kuja Arsenal, ila leo hii club haina kocha wa kushawish unadhania ni mchezaji gani ambae anakupa guarantee ya 20+ goals atakuja Arsenal aache kwenda team ingine
 
Ukweli mtupu
 
Nafikiri Lady Luck is by our side mpaka muda huu ninaoandika.

Game yetu ya leo dhidi ya chelsea imeahirishwa. Tutakaokutana nao next week wanakipiga na Crystal leo.

Sasa hivi tuna muda wa kupumzika so inatakiwa matokeo yasitusumbue ni basi tu wachezaji wetu wanapenda red.
 
Back
Top Bottom