Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa Partey asipocheza na mid ikipwaya ni kosa la nani?

Kutolewa kutaka. Una options kwanini usizitumie? First game you posed a threat with 4 2 3 1 leo unaenda na 4 1 4 1 huku DM Lokonga ambaye game ya ligi na Liva alifanya mistakes za goli.

So hapa tutafute mchawi nani wakati kila kitu kipo wazi? Edu na Arteta wameharibu timu na kutoa wachezaji bila kuleta wapya kwa wakati. Mechi za ligi zitaanza huku hakuna mchezaji amesajiliwa.
Sasa unakataa nini hujalazimisha kocha acheze 4231?, ebu soma hapo ulipoandika sijui una option...
 
No agreement
Screenshot_20220121-162701_Instagram.jpg
 
Hehehe we jamaa bwana. Labda ungesema dirisha likifungwa utatoa comment ila kwa hiki kikosi unajiona upo top four?

Mkuu top 4 mnaingia, acha uoga,raundi ya kwanza mmemaliza vizuri japo mlianza vibaya sana.lakini Baada ya kila timu kucheza na kila timu mkawa top 4 pale,inaonesha timu yenu ni nzuri.matokeo ya sasa hivi ni utofauti wa ratiba tu mwingine anapewa mechi ngumu mwingine mechi Za kawaida lakini mwishoni kina eleweka kama ulibaki ndani ya top 4 baada ya Mechi 19.

Unaweza kuona timu inaongoza Saizi lakini kuna timu bado hajacheza nazo akicheza kila mtu anarudi kwenye nafasi yake.

Chelsea wako wapi leo walioongoza ligi kwa point 4 mbele, baada ya mechi 19 yaani raundi ya kwanza walikuwa wameachwa point 7 na man city.
 
Kikosi finyu. Means uombe kusiwe na kadi wala majeruhi.

Usajili utatoa picha pana zaidi
 
Arsenal kuingia top four ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano .....

Timu inapiga hatua kumi mbele inarudi nyuma hatua kumi na moja
 
Bye bye Martinelli
Screenshot_20220122-111417_Instagram.jpg

Past time nilisemaga hawa watoto tukienda 2 seasons in a row bila trophies zozote au hata kuqualify kwenye champions league tutakuja kukimbiwa Klopp keshaanza kuongea si mara ya kwanza anamtaja Martinelli and then Saka na Smith Row watatajwa na Pep baada ya hapo wanasepa process inayosemwa ya kujengwa timu inaanza upya reason kubwa wataona why wanapoteza muda Arsenal wakati board na Management kwa ujumla hawapo serious na Mpira let's wait and enjoy the game
 
We don't know kama mambo yatabadilika but up to now hii ndio hali halisi ya usajili ya our team Arsenal nothing new na dirisha bado siku 9 lifungwe
Screenshot_20220122-165651_Instagram.jpg
Screenshot_20220122-165433_Instagram.jpg
 
Hivi huwa mnawaza nini mkiandika huu upupu arsenane fans. Yaani leo unasema Chelsea hajapata kitu kwa kutumia hela nyingi kwenye usajili!!! Yaani huyu bingwa wa UCL unasema hajapata kitu!!!
Mlevi hyo acha nae
 
Bye bye Martinelli View attachment 2091317
Past time nilisemaga hawa watoto tukienda 2 seasons in a row bila trophies zozote au hata kuqualify kwenye champions league tutakuja kukimbiwa Klopp keshaanza kuongea si mara ya kwanza anamtaja Martinelli and then Saka na Smith Row watatajwa na Pep baada ya hapo wanasepa process inayosemwa ya kujengwa timu inaanza upya reason kubwa wataona why wanapoteza muda Arsenal wakati board na Management kwa ujumla hawapo serious na Mpira let's wait and enjoy the game
comment kwenye page ta arsenal maybe wanaweza kusikiliza maoni na kuyafanyia kazi
 
As of now we are seventh in the league.

In our last 5 games we won one, drew one and lost the rest.

Last season Xhaka's error equalized against Burnley, tomorrow not only we won't have Xhaka but we won't have a CM.

We might win because tomorrow's opponent is like two disabled having a go at it.
 
Hii vita ya kushindana na Man U & Spurs nyepesi sana, Matimu mabovu No foundation, No fundamentals, both need a good luck to win a football match, haiwezi kuwa vita ya Arsenal. Tunamaliza top four.
 
Arsenal’s Takehiro Tomiyasu played w/o training due to RB injuries (no Chambers, no Soares) & coming off a calf injury. Risky but looks to have gotten through. Clearly rusty & regaining fitness.

Those complaining about his performance have never played sport at a high level.
 
Back
Top Bottom