Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwamba mchezaji hana say yoyote?? Kwamba Ipswich town ikimtaka Dembele wakalipa £2M basi anakwenda to Ipswich town??
Ukiwa unacheza FIFA career mode kikifika kipindi cha usajili mfano unatumia timu ya daraja la tatu unataka upande nayo had juu so unaenda kumfuata mfano Hazard au Bale kwakua umri umeenda so unakubaliana na Madrid wanakupa go ahead kunegotiate na mchezaji ukifika kwa mchezaji mchezaji anakuambia 'I like it here' ukifosi anakujibu 'I have my ambitions elsewhere'

Ndicho watakachojibiwa Ipswich
 
Yeah then no sale will take place and Barca will have their problem standing still come 1st February
 
Itakuwa miracle tukitoboa,

nipo mkoa mmoja kwa sasa, tangu asubuhi umeme umeishakatika mara 6 sijui kama nitaona mechi, let me charge my iPad,itabidi kutumia plan B
Kwanini tusipite???

Yaani tuna nafasi kubwa ya kupita
 
Back
Top Bottom