Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Suala la kukaa na mpira nakubali. Ila kwa vile tuna Saka na Martinelli ambao ni ball keepers wazuri, mimi nlidhani tukipata goal getter itakuwa poa sana.

Namuona kama Ruud van nestelrooy kwa mbali

Yaani DCL ama tammy wawe katika njia ya ruud van nistelrooy, hapa ni mafuta na maji ukiwa ni striker ambae huna mambo mguuni basi unapaswa uwe muweka kamba mmoja mzuri sana kqa namna yoyote, unajua kujipostion vizuri saana, sasa hawa vijana bado kwa kweli, binafsi sitamani waje arsenal, au labda ni vile tu sipendi wachezaji wasiokuwa na mambo mguuni.
 
Usajili huwa ni kamari tu, torres katoka liver wa moto, kaenda chelsea ni mashuzi tu.
 
Eti una mchezaji anaitwa sambi lokonga halafu unategemea kupata ushindi😂😂😂😂😂
 
Reactions: ARV
Eti una mchezaji anaitwa sambi lokonga halafu unategemea kupata ushindi😂😂😂😂

Bwana Sambi Lokonga Jana kapiga shot on tagert ngapi😂😂😂🤣

Pepe kaleee mumempeleka wapi yule pound million 80 zile mumemaliza kukupa? Au ndio amerudi Like sijui🤣🤣🤣
 
Hii arse8 yetu lazima ibebe ligi maana tumepigwa na NotadamForest kwa makusudi ili tumkimbize city maana sisi ni taito kontendaaaaa🤣🤣🤣
 
Reactions: ARV
Hii arse8 yetu lazima ibebe ligi maana tumepigwa na NotadamForest kwa makusudi ili tumkimbize city maana sisi ni taito kontendaaaaa
Acha kujifariji basi.Chelsea awe title contender!!! 2021/2022!???


Kombe la Citizen.
 
Usajili huwa ni kamari tu, torres katoka liver wa moto, kaenda chelsea ni mashuzi tu.
Lukaku from everton to manure

Benteke from villa to liverpool

Andy Carrol from newcastle to liverpool

Sanchez from arsenal to manure

Fellaini from everton to manure

Maguire from leicester to manure

Willian fro chelsea to arsenal

Wan bissaka from palace to manure


USAJILI NI KUBET TU.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Moderator Maxence Melo

This is the second time tagging you here sorry for that, but it's either being active or restricting access to the thread for all those who are continuously using abusive, offensive and disrespectful acts.
Lugha inayoudhi ni sehemu ya majigambo katika ushabiki wa soka. Ni rahisi sana walioshindwa majigambo kutafsiri maneno ya majigambo kuwa matusi au abusive language. Kama wewe huwezi ushabiki kwa nini upo huku?
 
Willian ondoa, hiyo haikuwa betting, Willian muda wake ulishaisha ninyi kwa ubishi wenu mkaingia kichwa kichwa tu hata baada ya kuwaonya kuwa ktk uzee wa Willian ukimpa mkataba wa muda mrefu ndio ataacha kucheza kabisa lakini hamkusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…