computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Nimeona Arsenal na tetesi za usajili but nina shaka na Isack sio mbaya sana but style yake ya uchezaji napata shaka kama anaweza akawa mmoja wa best players wa kutupa 20 goals per season huyo wa Fiorentina(Dosan) for sure naona jina linatajwa sana but ntaenda ku review video zake nije na conclusion huwa sipendi kuargue kitu sikijui kabisa but may be humu Jukwaani kuna watu watakuwa wanajua ubora wa jamaa but for me simjui kabisa but up to now bado sijaona jina la player kwenye tetesi ambaye tunaweza tukasema this guy is good
Kuna wadau wanasema Arteta hana ushawishi kwa kupata best players ,yes I agree na nlisema ni mpaka Arsenal amalize top 4 na kuplay champions league otherwise hakuna mchezaji ambaye atakuja kwetu tukasema yes this is the best signing but tuendelee kuona this Jan itakuwaje na May Arsenal atamaliza position ipi but Arsenal needs more efforts kurudi Champions league yaani ni must otherwise tutakuja kuwa normal timu ambayo ipo kawaida and that's it

#Fiorentina