Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Urgent.. Liverpool announces that they have submitted an official request to postpone their match against Arsenal in the Carabao Cup due to Corona.. Now they are waiting for the decision
 
Hii hapa ni sehemu ya sheria ya 5.1 ya Kombe la Carabao.

Iwapo hawawezi kucheza basi watajaribu kupanga upya mechi kabla ya fainali (hata kama itabidi ichezwe katika uwanja usio na upande wowote). Ikiwa haiwezi kupangwa upya, Liverpool watapoteza na Arsenal kusonga mbele
1641261349902.png
 
Usajili Updates: Arsenal wamtaka Vlahovic kabla ya msimu wa kiangazi.

Arsenal have made their move to sign Fiorentina striker Dusan Vlahovic

Dosan Vlahovic.

Huyu ndie new marksman wetu mtarajiwa.

Arsenal wanataka kumsajili mshambuliaji wa Fiorentina Dusan Vlahovic na huenda wakamtumia Lucas Torreira kuwa uwiano katika ada ya usajili.

Arsenal tayari wapo tayari kuondokana na mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang hivyo kuweka nafasi kwa Vlahovic ambae ana umri wa miaka 21.

Lakini taarifa kutoka kwa vyanzo vya habari kama gazzetta del sport cha Italia zinasema Arsenal wameweka mezani dau la kiasi kama Pauni 58.3m na wanataka kuzuia mchezaji huyo kwenda timu zingine kama Tottenham na Juventus ambao nao wameonyesha kumtaka mchezaji huyo mzaliwa wa Serbia.

Antonio Conte huenda akajaribu kumsajili mchezaji huyo mwezi Julai endapo Harry Kane atakwenda Manchester City.

Juventus wanataka kumuuza Matthijs de Ligt ili kuongeza fedha za kumsajili Vlahovic.

Arsenal tayari wameruhusu Ainsley Maitland- Niles kwenda Roma kwa mkopo na pia wapo tayari kusikiliza dau kwa wachezaji Pablo Mari na Calum Chambers huku Alexandre Lacazette na Eddie Nketia wakiwa tayari kuondoka mwezi Juni baada ya mikataba yao kumalizika ifikapo muda huo.

Lakini habari ingine kubwa ni kwa Arsenal kuhitaji huduma za mchezaji wa kiungo Phillipe Countinho ambae hajaweza kucheza mara kwa mara akiwa na timu yake ya Barcelona.

Msimu ulopita Coutinho alikwenda Bayern Munich kwa mkopo kisha kurudi Barcelona msimu huu wa 2021/22.

Wawakilishi wa Coutinho walisafiri kwenda London mwisho wa wiki ilopita kujadili suala la uhamisho wa mkopo wa Coutinho ambapo sauala la mpango yaani payment structure ndo kizingiti.

Hivyo wakuu, Arsenal imepania kuhakikisha inashikilia nafasi ya nne kwenye msimu wa ligi na ikiwezekana kusogea juu zaidi kwa kuwa na wachezaji muhimu kwa kuzingatia kwa wiki tatu hatutakuwa na Thomas Partey na Mohamed Elneny ambao wapo kucheza AFCON.

Hivyo "fingers crossed" Vlahovic na Coutinho waje Arsenal kuongeza nguvu itakuwa jambo la mbolea sana.

COYGs!!!
 
We have the best youngsters, MARTINELI, SAKA, SMITH, ODEGAARD,
they are super hot, just need to improve on their skill, shooting, freekick, creativity and the champions league is ours to take next season,
Two class midfielders, and a striker, we win everything that stands in our way.
 
Sasa coutinho wa nini?
Akija tutajua Edu ana ajenda na wabrazil wanaoelekea kukosa Kazi, (Luiz, Willian na sasa Coutinho)

Aangazie vitu vya msingi,

Team ina mahitaji makuu matatu aubwalau Mawili

1. Reliable CP
2. Reliable CDM au Combination ya Viera-Gilberto / Viera-Petit kwetu kwa sasa iwe Mould ya Partey- kama box to box aje fold yake ya kuziba mwanya anapopandisha Team.

Kwa sasa ni hayo tunahitaji.

Kisha team iachwe ikue na kukomaa pamoja, hizi chalii za Akina Lukonga zijifunze kutoka kwa wakubwa na wanapofikisha umri wa 24 wanakuwa wameiva na tayari kuchukua Majukumu,

Team ikiwa na Mihimili ya aina hii ninrahisi sana kuongeza watoto wa kuja kuzoea, maana wakati wanazoea kuna makosa watakuwa wanayafanya na yatazibwa na hiyo miamba kati. With time wanaishia kujifunza from their past mistakes.

Team ikikosa hiyo mihimili daima vijana watakuwa wahanga wa Kudumu, pamoja na Uzuri wa Xhaka katika passing range alikosa wakubwa wa kumwongoza kwenye makuzi yake ndio maana leo anaendelea kufanya makosa kwenye team yenye gharama kubwa sana. Na bahati mbaya team haijajifunza n kijaribu kununua huo uzoefu kutoka nnje, badala yake wanawekeza kwa watoto tena. Na tumeona watoto wamefanya nini, Nuno na Lukonga kila mmoja ametuonesha uwezo wake lkn pia kila mmoja tumeona namna alivyo suspect wa makosa tukiwa under pressure
 
Sijaelewa maana ya CP.

Ila kwa sasa mi naona tunahitaji mid kariba ya Rosicky na ST.

Akili yangu inaniambia Folarin na Nketiah siyo wabaya lakini hawana consistency so kuwasubiri ni mtihani. Arsenal ya vijana kuna namba 6 too bad jezi zao hazina majina, dogo ana pumzi, dirty worker ila hapati kadi, wangempa namba huyu atrain na wakubwa kisha aingie mechi za carabao na FA
 
CP typo CF

Kwa sasa team haina Mid za Kukupa 14, 16, 17 goals kama tulivyozoea enzi za Ubora ule tuliouzoea. Na hilo litawezekana tu tukiwa na Pivot ya maana ya kulinda na kuruwapa uhuri AMD waweze kuendeaha team, ESR na MÖ wanaweza kupa 10+ kila mmoja na Saka anaweza kukupa 20 goals, hapo striker anakuwa amepunhuziwa presha ya kufunga, majukumu yakiwa hivyo team itakuwa inapambana kunyanyua mataji na sio visingizio vya kuwa team inajengwa. Ujenzi unaokwepa sehemu muhimu no ujenzi wa aina gani!? Maana toka 2006 tunajenga hatumalizi!?
 
Arsenal & Roma are pressing to get the Ainsley Maitland Niles completed urgently. These are “hectic but decisive” hours.
The clubs are willing to complete the loan immediately & discuss option/obligation in the coming months. Loan fee has increased to 500k.

@DiMarzio
And of course binafsi napenda tulete a top CM kabla ya ST, as for now tuna Lokonga ,Xhaka inawezekana tukasajili CM this window, bring Bruno G.
 
Vlahovic is simply a fool, huwezi kukataa project ya Arteta, unless kuna Club imeshaingia naye precontract agreement
Vlahovic anaturingia ringia tuhamie kwa Isak tu kwanza ni mzuri zaidi kwenye hold up play and with Odegaard and Saka atafunga sana...

isak hata kutokea pembeni anaweza, yupo vzr kwenye hold up na link up play, dusani typical ni NO.9 ,NI FINISHER zaidi, left footer,hawez kutokea pembeni, isak ni prime aubamayang kabisa, for me nilipowaangalia twende kwa isak,
 
And of course binafsi napenda tulete a top CM kabla ya ST, as for now tuna Lokonga ,Xhaka inawezekana tukasajili CM this window, bring Bruno G.
partey atakosa mechi 2 tu za epl, ya totenham na burney .... kama arsenal wanasubiri summer ndio wa splash money, kwasasa wamtumie hata ben white as CM, halafu CB acheze maghalhaes na holding,
 
Vlahovic anaturingia ringia tuhamie kwa Isak tu kwanza ni mzuri zaidi kwenye hold up play and with Odegaard and Saka atafunga sana...

isak hata kutokea pembeni anaweza, yupo vzr kwenye hold up na link up play, dusani typical ni NO.9 ,NI FINISHER zaidi, left footer,hawez kutokea pembeni, isak ni prime aubamayang kabisa, for me nilipowaangalia twende kwa isak,
Tatizo linakuja wapi mzee Aaron Arsenal kwamba Vlahovic ana killer instinct, he can guarantee you 20 goals per season nadhani paka sasa ana goli 16 kama nitakuwa sawa

Isak ni mzuri kwa hizo link & hold up play but he lacks goals, Arteta anachokiona nadhani anaweza kumfundisha vlahovic kulink up play ila hawezi mfundisha Isak kuscore goals,

Yaani Vlahovic ni rahisi kumrekebisha kuliko Isak sababu kufunga kwake it comes natural.

Na tulimkosa Tammy kwa £32m last season kwa sasa bei imepanda labda Ivan Toney au DCL.
 
Kabisa aisee, ni ngumu sana mchezaj kukataa project inayoonekana kwa sasa ni tofauti na kabla ya ligi aijaanza, naiman hata locatell, ingekua ni sasa fasta angesema yes

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Locatelli the baller, huyu mtu angekubali paka sasa top four ingekuwa uhakika.

Kitu kingine kuhusu Vlahovic ni mzuri sana aerial, mfano game na Man city ...KT anapiga cross nzuri afu hakuna mtu wa kwenda aerial.
 
Tatizo linakuja wapi mzee Aaron Arsenal kwamba Vlahovic ana killer instinct, he can guarantee you 20 goals per season nadhani paka sasa ana goli 16 kama nitakuwa sawa

Isak ni mzuri kwa hizo link & hold up play but he lacks goals, Arteta anachokiona nadhani anaweza kumfundisha vlahovic kulink up play ila hawezi mfundisha Isak kuscore goals,

Yaani Vlahovic ni rahisi kumrekebisha kuliko Isak sababu kufunga kwake it comes natural.

Na tulimkosa Tammy kwa £32m last season kwa sasa bei imepanda labda Ivan Toney au DCL.
sijui kwanini nimeanza kuingia wasiwasi na dusan, nikikumbuka yaliyomtokea pepe, dusan ameanza kuwika huu msimu wa pili,

kwa arsenal yetu hii ya vijana wengi inahitaji middle compact na ST mwenye link up play kariba ya lacazette,
 
Back
Top Bottom