Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii tabia ya matusi yaliyopitiliza, SIO. Inatudhalilisha. Yes we lost the game, our emotions were running high but not to the extent of exchanging unspeakable insults.
 
Brilliant & Class Clarifications – Unafahamu how football works na law of nature & realism. The entire world imeona Arsenal, Stuart Attwell na Manchester City, ni baadhi tu ya watu waliochagua mlengo wao wanaona Xhaka pekee, at the same time huoni hata wakigusia Gabriel Magalhães unafahamu kwa nini?


Verisimilitude – Katika kila jambo kuna kitu Verisimilitude au Verismo yaani Uhalisia! Uhalisia recently katika dunia umetoweka hasa ikichagizwa na mfumo wa ukuaji katika jamii tofauti. Kutoweka kwa uhalisia au realism imeleta suala linalosabisha haya yote ambalo ni EXCUSES.


Excuses – Ni hali ya kupunguza lawama na kujaribu kutafuta faraja katika fikra. Excuses ni against realism chanzo cha mafanikio. Linapotokea kosa au kupoteza mtu hakubali uhalisia anatafuta faraja kwa kutoa lawama na kujiona hajapoteza.


Xhaka Scenarios – Xhaka anacheza na 10 others players against 11 others, both sides zinaamini katika ushindi – Realism inaonyesha hata opponents wanahitaji na kuweza kushinda kwa maana hachezi pekee yake, wachezaji ni human sio AI na Robotics. Tumewahi kujiuliza zinapofungwa Sheffield United, Bunley FC au Cystal Palace na wao wanalenga mchezaji kwa kuona ndio chanzo?!


Excuses zinaambatana na hali ya Negativity mindset/thoughts katika kila angle mtu anatizama jambo kwa mtazamo, hisia na mlengo hasi. Hivi ndio Xhaka anavyotazamwa, atafanya kosa gani na hata lisipotokea kosa likatokea jema hapewi credit maana mhusika amekuwa outshined against willing yake. Verismo inaonyesha unapotafuta ubaya utapata na ukitafuta uzuri utapata.


Partey, Tierney, White, Gabriel, ESR, Lacazette, Ødegaard, AMN and more wote ninaweza kuorodhesha makosa katika mechi mbalimbali zaidi ya makosa 5 kwa kila mmoja lakini sifanyi excuses kwa sababu ni uhalisia katika football na ninatizama katika neutrality observational.


Arsenal Fans – Kwa asilimia kubwa uongozwa kwa hisia kuliko uhalisia. Remember this! Yanayotokea kwa Xhaka, yaliyotokea kwa Özil na sasa Aubameyang baada ya miezi kadhaa utayaona kwa favorites players like Tomiyasu, Partey, ESR, Odegaard au mchezaji yeyote. Once upon a time Xhaka, Aubameyang & Özil walikuwa fans favourite.
 
Kama Arsenal wanahitaji kuendelea mbele ni muda sasa wa kuachana na viungo aina ya Xhaka. It was silly mistake kufanya faulo pale kwenye box. Xhaka ni mjinga mjinga sana

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli yanapotokea mashambulizi mengi xhaka huwa anajichanganya sana,no sita wengi Arteta ni muda sasa wa kutafta mbadala wake
 
Mkuu siku km mbili tatu kabla ya mechi ya jana tulikuwa na ubishani juu ya uwezo wa Xhaka, kwahiyo wakati naangalia mechi jana concentration yangu ilikuwa juu yake na safu ya ulinzi kwa ujumla. Nilikuwa naangalia jinsi wanavyokaa kwenye nafasi zao, wanavyopokonya mipira kwa mpinzani na wanavyoanzisha mashambulizi. Katika hayo yote sikuona sehemu ambayo walifanya makosa.

Kuna mdau alisemea udhaifu wa Xhaka kuwa ni ku-loose concentration, kuwa out of position na kutokuwa na discipline. Kwahiyo wakati nafuatilia jana hayo yote jana sikuyaona kwa Xhaka toka mechi inaanza mpaka inaisha. Nilitegemea baada ya kadi ya njano na nyekundu kwa Gabriel, Xhaka angepotea zaidi lkn bado aliweza ku-maintain na kufanya vzr.

Kwangu mimi nasema Xhaka ni moja ya viungo muhimu sana kwenye timu yetu na ukitaka kujua kuwa ni muhimu basi apate injury alafu akae nje hata miezi miwili tu one kiungo chetu kinavyopwaya. Kitu kingine pamoja na mambo yote bado Xhaka anajitoa na kucheza kwa moyo wake wote kwa ajili ya timu. Kwenye kosa la jana limetokana na kulalamika kwa wachezaji wa city na refa akashindwa kuwa fair lkn ukweli ni kwamba Xhaka hakumshika jezi ili kumzuia ndio hiyo ilionekana wakati silva anaenda chini. Yaani ukiangalia lile tukio utaona silva alianguka kuonyesha kakwatuliwa miguuni na penati inatolewa kwa kuvutwa jezi.

Nasisitiza tusimuone Xhaka km mkosaji na mkwamishaji wa maendeleo kwenye timu yetu. Kwa aina ya mpira wa sasa ni vigumu kumpata kiungo aina ya Xhaka
 
Kwa iyo nyie matakataka vinabo baada ta kuzibuliwa mitaro munaanza kuanikana hapa jinsi mnavyozibuliwaga. Mlitaka msifungwe!!? Eboo..!! muna timu nyie matakataka ya kumfunga City..??
 
Angalia hii picha
 
Hakuvutwa shati bali alishikwa shati na hajaanguka kwa hiyo sababu ila penati ilitolewa kwa sababu hiyo. Sawa refa ametoa penati lkn je ni kosa la kumwagushia zigo Xhaka??
 
Mkuu huo mwanguko ni wa kuvutwa shati kweli?? Yani uvutwe shati alafu u-dive?. Xhaka hakuonesha nia ya kucheza rafu ndio maana refa hakufunika moja kwa moja mpaka alivyozongwa na wachezaji wa city
 
At one point Arsenal tulikua tunapoteza mechi na kusuluhu na kila timu ilikua miyeyusho kuifuatilia timu na katika kipindi hicho pia katika huu uzi ilikua tunaweza kujikuta watu wawili au mmoja.

Katika hicho kipindi ilikua ngumu huu uzi kuwakuta mashabiki wa timu zingine humu ilikua ni kama vile kila mmoja kashajua Arsenal anatakiwa kufungwa mashabiki wa Arsenal wakawa wanaingia kuchungulia ila siyo kucomment.

Maisha yakaendelea mpaka game na chelsea tuliyoshinda 3 watu wakaanza kuja ila safari hii ji kumsema kocha na wachezaji. Msimu mpya ukaanza na vipigo, kocha akazidi kusemwa, tulisema sisi, zikawa nyingi.

Halafu tukaanza kushinda ila kimiyeyusho, baadaye tukawa tunashinda convincingly hapa sasa ndiyo mashabiki wengi wakarudi hapa sasa ndiyo kila mtu anamquote mwenzake ili kumshushua au kumuambia ana IQ ndogo au kumuambia haelewi mpira.

Since hizo wins vimezuka vitabia vya kitoto, mtu atakuquote kusema ulichoandika siyo sahihi ukimwambia athibitishe madai yake anakimbilia jibu la 'Una IQ ndogo' 'Hauelewi mpira' 'Umeshinda wewe' haya yamekuja pamoja na mashabiki wa timu zingine kuja humu kuandika wanachoandika hawa sina shida nao as shabiki wa timu nyingine kukuharass ni given.

Ila mtu anayeclaim yeye ni Arsenal halafu anakuquote kukuandikia katika namna ya kumaanisha actually anataka mbishane au ameamka tu siku hiyo na kuchagua kua mpuuzi.

Sasa hivi tumefika kwenye kutukanana. Yaani mtu anaamini yeye anajua mpira kiasi kwamba ukimwambia alichosema siyo sahihi wewe ni msenge huna akili unatakiwa kuchokonolewa.
 
Tuna game ya Carabao, FA halafu Carabao tena. Watu wamehama hawapo tena kwenye matokeo ya jana as dunia ya mpira imeona kila kitu.

Pep Vardiola ameresort kwenye plan VAR
 
Mkuu huo mwanguko ni wa kuvutwa shati kweli?? Yani uvutwe shati alafu u-dive?. Xhaka hakuonesha nia ya kucheza rafu ndio maana refa hakufunika moja kwa moja mpaka alivyozongwa na wachezaji wa city
Huoni kama kavutwa shati happ mzee ,mpaka shati imevutika .....

Unataka kusema hakuvutwa ameshikwa ?

Xhaka kamvuta shati ,sema inaonekana hakutumia nguvu sana ,but bernado katumia advantage ....kwenye football mtu akishakupita na mpira ,badala ya kucheza mpira ukaanza kumvuta shati basi hio ni clear foul ...

Hii ni clear penalty ,kama bernado ame dive basi ka dive mahala sahihi ,Kuna kipind Liverpool walikuwa wanapata penalty za hivi ,Salah anawapita wanavuta shati kidogo tu tayari tuta ....
 
kama mtu ulitangaza umehamia psg kwanini ukae humu kukera watu, sisi tunajua arteta kaikuta hii timu kutoka kwa unai hata pass 10 haiwez kucheza kaikuta hii timu kutoka kwa unai ikicheza hata na watford inazidiwa possession, na kila kitu, hivo mlioamua kumtukana kocha , mkatangaza kuhama msiwe kero kwa wengine , endeleeni na psg yenu....
 
Mods watusaidie kwa hili hakuna sababu ya kusumbuana.Arsenal ni timu yetu bora na tumeipenda na tunawapenda wachezaji wetu waliopo na waliokwisha hama.

Hatuhitaji matusi humu kama Arsenal inakukera unasubiri nini kuhama kama siyo tatizo lako.
Tunawashauri waache kabisa kuishabikia Arsenal na wakome kuwashambulia wachezaji wetu. Mpira ni starehe yetu.
 
On His Day...Partey ni Mnyama tena Mnyama Mkali Haswaaaa....

Tangu Msimu Uanze Hii ndo Big Game Tumeingia Tumeshiba Kila kitu Mbinu,Juhudi,Maarifa,na Kila Kitu kizuri ...Tulichokosa ni Ukatili Mbele ya Lango Lao...
How I Wish Hii Game Ingeisha Kipindi Cha Kwanza Tungetoka na Goli 2-0 ingekuwa Rahisi Kumeza Pressure na Kutulia na Kumiliki Mpira Zaidi..
Ahsante sana Referee na Team Nzima ya VAR ..mmejua Kutudhulumu Leo Kwa kiasi Chenu... Ile ya Gabriel Wangeweza Kuzima tuu kama foul ya kawaida game ingeendelea na ile penalty ya Odergaard wangeenda Kwenye VAR kuangalia pia...
Hii Game imethibitisha kuwa mfululizo wa matokeo tulivyokuwa tunapata haikuwa bahati Mbaya wala Game Rahisi ni Mabadiliko makubwa mno yamefanyika kwenye uwanja vya mazoezi..
Leo nimeishuhudia Arsenal Niliyokuwa Naitaman sana Tangu Arteta Amekuja..Yes hatuna Quality ya City wala Liverpool ila tunaweza kuingia na Game plan yetu nzuri na tukapambana na kuwapa Game ngumu team Yeyote..Sio Kinyonge kama Tulivyokuwa Mwanzo ...
Team Yetu Saivi Ukiiangalia kila idara imeunganishwa vyema imebaki kuongea Quality kwenye kila idara team itakuwa tam Hii kama Chupa ya Mirinda kwa Yule Dada..
Tumepoteza Game ila Tunajivunia Mengi katika game ya Leo na uzuri sio kila game tutacheza na City kwaio wale wa Size yetu tuhakikishe tunapata pointi za kutuweka pazuri
 
Nilitamani watu tuwe tunajadili mpira kwenye timu yetu. Kila mtu atoe mtizamo wake alafu mwingine apinge kwa fact kisha kwa kuwa football ni real basi watu waende kuprove kwa kuangalia mechi huko wakirefer & compare kilichojadiliwa. Kwa kufanya hivyo sio tu tutabaki kuwa wapenzi wa mpira bali tutaujua mpira. Sasa tatizo la hapa jukwaani watu either ni wavivu au hawajui ku-argue hivyo wanaishia kutoa matusi.

Kitu cha kingine ni kwamba tunatakiwa kuwa wavumilivu kwa wengine yaani tuweze kuvumilia pale unapotolewa hoja ya kukukwaza kwani unapovumilia unapata fursa ya kujua aliekukwaza alienga nini na yule anaevumiliwa pia zamu yake ikifika avumilie sio kila siku unavumiliwa wewe tu.
 
Mkuu, Xhaka ni mchezaji anayekuwa targeted na hii imekuzwa na Washabiki wa Arsenal wenyewe kwa kumuongelea negative.
Mechi ya Man city alipewa Red card ikatokea team mate akauliza uhalali wa ile red card referee akajibu "you know when Xhaka lose his head", Imekuwa Xhaka akicheza foul hata kama soft ni either yellow card/ Red card..
Ukitaka kuamini hilo jana Rodri kacheza 6 foul without a yellow card, B.Silva penalty ilikuwa very soft haina tofauti na Incidence ya Ø vs Edeson, VAR inconsistency. Haya mambo kwa Arsenal hayajaanza leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…