Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyinyi kunguni Arsenyeto huwa mnasumbua sana kwenye jukwaa la the blues.

Siku yenu ya kunyolewa inefika leo.

Natamani sana City afungwe lakini siwezi kujiombew ugonjwa wa moyo.

Acha mpigwe tu, Ng'ombe nyinyi.
 
Do or die, inabidi leo tufunguke, ukikaa sana nyuma city ndio anakuua nyingi

attack as one unity and defend as one unity, through 90+ mins
Well structured, more active.

Kama ilivyo, nguvu ya mamba ni maji, ata nguvu ya man city ni midfield
Na ukiangalia DNA, midfield ndio nguvu ya arsenal miaka yote,
Leo atakaekua dhaifu katika eneo la kiungo ndio inakula kwake
Pia hii game ina goals nyingi
Goals nyingi kwenye nyavu za arsenyeto.
 
Do or die


Leo inabidi tufunguke, tusiwe wanyonge

tofauti na hapo tunakufa nyingi
 
Back
Top Bottom