MkoPoKa
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 600
- 393
Hebu jikaze umalize Game mazeeLet's wait for today game nipo kwenye TV nasubiria kikosi na mechi yenyewe tukianza kufungwa nazima TV naendelea na mambo mengine
Hebu jikaze umalize Game mazeeLet's wait for today game nipo kwenye TV nasubiria kikosi na mechi yenyewe tukianza kufungwa nazima TV naendelea na mambo mengine
You're not serious mkuu. Kwenye mpira huwa sibishani coz sipo vizuri sana, I come here to enjoy.Computerarsenal, Eroni na mkopoka naonaga ni mtu mmoja, huyu jamaa anasumbua na akaunti mia
kwa hiyo unajiquote tu mzee baba kwa kuswitch ID![]()
Kikosi cha Manchester City kinatisha jamaniLineups tayari, we need to avoid redcard today. Tomiyasu starts
jibu mada acha kujiteteaComputerarsenal, Eroni na mkopoka naonaga ni mtu mmoja, huyu jamaa anasumbua na akaunti mia
kwa hiyo unajiquote tu mzee baba kwa kuswitch ID![]()
IQ ya mtu unaipima kwa nini we mzee?Hehehehehehehehe Will Jr unanifurahisha sana mean wewe ukiona watu wanapingana na wewe hata wakiwa wawili or three basi conclusion yako ID ni moja?bro mbona unaoneakana una IQ nzuri kabisa why unakaa kuthink vitu ambavyo havi exist?
Kazi ipo mkuu hii game sioni hata dalili ya sisi kuambulia sareLet's wait for today game nipo kwenye TV nasubiria kikosi na mechi yenyewe tukianza kufungwa nazima TV naendelea na mambo mengine City akianza kukufunga ujue hupati positive results kamwe inatakiwa Arsenal aanze kutafuta goli
Toa Laca hapo mbele weka Martinelli halfu ESR weka kushoto hapo
Tumepata matokeo mazuri kwa kikosi hicho hichoToa Laca hapo mbele weka Martinelli halfu ESR weka kushoto hapo
Uwezo wake wa kufikiri for example Will Jr anakwambia Computerarsenal na wenzangu wengineo ni ID moja meaning ni kuwa uwezo wa kufikiri umeishia hapo sababu anaona watu wanapingana na ideas ambazo may be kwa yeye anaona ni negative kwa Arsenal which is not true at all mfano Sisi tunataka Arsenal ashinde dhidi ya magiants ili tuone timu ina direction kuliko unamfunga Norwich Leeds Southampton Newcastle kisha unakutana na Liverpool Manchester City Manchester United Chelsea tunafungwa wakati game kama hizo dunia nzima inaangalia hadi kwa wasiopenda footballIQ ya mtu unaipima kwa nini we mzee?
Kwa mentality hizi bro ndio maana tunaambulia Negative results frequently vs big giantsAke kawekwa LB.
Sterling na Silva wamewekwa upande wake kuziba weakness yake ya pace.
Rodri amerudi a solid player mpira uende mtu abaki au mtu aende mpira ubaki.
Silva, Jesus na Mahrez wote ni speedsters hawa, magoli yanatafutwa kivyovyote hapa.
Ingekua Pepe hana unnecessary showboat hii game ilifaa akatafutane na Ake.
Kazi ni ndefu kiukweli. Also City hua wanapata goli dakika 15 za mwanzo kila tukicheza nao, I believe ni kutokana na mentality considering tumebadilika acha tushikilie bomba.