Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asante kwa mometi zako.

Rasmi nimekuhifafhi kwenye kundu unalolistahili.

Sina cha kukuongezea.
 
Mkuu tatizo lenu ni kwamba hamleti facts badala yake mnaruka ruka tu ndio maana watu wanawaona miyeyusho. Km kweli wewe una facts za kimpira ebu tueleze ni weakness zipi za Xhaka ambazo ukienda kuangalia gem 3 mfululizo lzm uzione toka kwake
Haya Tuanzie Hapa, kuna back pass ngapi Xhaka amezitoa zikaishia kutugharimu, kina faulo ngapi zikaishia lumpa red card ambazo mwiahowe ikawa gharama kwa yeam na lupoteza au kudroo mchezo husika.

Xhaka ni kama mwezi mchanga, unakupa mwanga kwa wakati furani na baadae kukuacha gizani. Buwezi kumtegemea kama jna harakati za kusaka Ubingwa.

Kesho nikipata nafasi nitakuja na full record za mwamba na matokeo ya kila match yaliishaje baada ya madness zake
 
Sasa kama hawakuwahi hata kuomba bei hiyo big talk ya Arsenal kumtaka Maximin au Zaha wewe umeitoa wapi?

Rafiki wa karibu na Zaha alipost video akiwa yeye na Zaha akiwaambia Arsenal wamsajili. Ulisikia Arsenal hata ilijisogeza kwa Crystal?
Wewe jamaa isee
umejibu simple sana japo jibu lako lina logic
 
Hana akili huyo Dully Jr achana nae atakupotezea muda
 
I think you are not mentally fit pitia post yangu kabla ya kusema haya unayoyasema
 
Sawa mkuu ila ninachotaka na kutegemea kukiona ni kwamba uniambie kwamba ukienda kuangalia mechi 3 za ambazo Xhaka yupo kikosini utaona 1, 2, 3 kutoka kwa Xhaka (cmmon mistakes from Xhaka). Sio tu kwamba alifanya hivi au vile mechi fulani na tukafungwa
 
Acha ubishi you need to learn from others bro wewe unataka kuonekana una akili kuliko wengine plz acha hyo tabia ulivyo sema mwenzio akaangalie strength za Xhaka sababu wengi wamemsapoti huo ni ujinga kubali kukubaliana na wenzako wewe unachokiona ni positive mwenzio anaweza akaona ni pumba pia umeandika
Mimi najua pumba na ujinga fuatilia post zangu huwa kuna watu huwa nasapoti walichokisema fuatilia ila kuna wengine kama wewe unaandikaga pumba unaona umeandika positive kwenye makala zako nyingi chache huwa ni positive but many makalas huwa nakushangaa
 
Sasa kama hawakuwahi hata kuomba bei hiyo big talk ya Arsenal kumtaka Maximin au Zaha wewe umeitoa wapi?

Rafiki wa karibu na Zaha alipost video akiwa yeye na Zaha akiwaambia Arsenal wamsajili. Ulisikia Arsenal hata ilijisogeza kwa Crystal?
ndio fan wa Arsenal huyo tena kindaki ndaki
 
Dont expect Saka Smith Row Odeegard Martinelli watakaa 3 seasons wanavumilia hawabebi trophies kwa mpira wa sasa never ever that's why Fabregas Van Persie Nasri Denilson Song Hleb hao ni baadhi wote waliikimbia Arsenal na kwenda kupata Big achievements kwa kubeba trophies ambazo kwa Arsenal hawakuzibeba mind you mpira wa sasa ni pesa tu ndio itoke tena ya maana if you want to achieve something sio pesa za mafungu may be walipwe salary za kujitosheleza for example Bayern Munich Real Madrid Manchester City PSG wanawaambia hao watoto tutakupa salary ya 250 wakati Arsenal anapata 100 au 120 na promise ya kubeba trophies
bro msimu wa 3 unafika wanaondoka tunarudi kuanza upya that's football ya sasa hali halisi ndio hiyo

Kuhusu kuzifunga top 3 bro usiongelee West Ham hapa mfano upo hai au nkikuuliza Arsenal vs top teams kwa more than 10 years kuanzia 2011 kashinda mechi ngapi?msimu huu pekee Arsenal kafungwa goli 11 na top 3 na hajafunga hata goli 1 navyosema kipimo cha Arsenal vs top teams ni hii natumai utanielewa Arsenal sio West Ham na Arsenal is the one of the biggest team in the world
anastahili kupata results ambazo ni chanya
 
Then hujajibu my question why usiachane na ubishi wa Xhaka sababu wanaojiita wataalamu humu wengi wamekupinga?umeambiwa u learn kaangalie strength za Xhaka je umeziangalia tayari?
 
Sheikh una uelewa wa chini sana na kwasababu hiyo sitakujibu mpaka nitakapoona umeimprove uelewa wako katika kuchanganua mambo
 
Sheikh una uelewa wa chini sana na kwasababu hiyo sitakujibu mpaka nitakapoona umeimprove uelewa wako katika kuchanganua mambo
Huna majibu acha kukimbiakimbia you need to learn from others pia bro that's my opinion unataka uwe mfalme wakati wengine tunaona your nothing katika mpira unajidanganya
 
Sasa kama hawakuwahi hata kuomba bei hiyo big talk ya Arsenal kumtaka Maximin au Zaha wewe umeitoa wapi?

Rafiki wa karibu na Zaha alipost video akiwa yeye na Zaha akiwaambia Arsenal wamsajili. Ulisikia Arsenal hata ilijisogeza kwa Crystal?
Ubishani wa kitoto, inafurahisha sana
 
Nina pages hua nazifuatilia kuhusu usajili. Kuna transfer, transfer centre, fabriziorom, davidernstein, chris whitley na transfermarket. Hawa wote wasiseme hiki ulichokiona? As usual mkikosa majibu mnakimbilia kujifanya mna akili sana.

licha huwa tunapingana kwa nguvu zote but huwa nakukubali una vifacts fulani hivi ambavyo asilimia 80 huwa vina ukweli ukweli
 
Nina pages hua nazifuatilia kuhusu usajili. Kuna transfer, transfer centre, fabriziorom, davidernstein, chris whitley na transfermarket. Hawa wote wasiseme hiki ulichokiona? As usual mkikosa majibu mnakimbilia kujifanya mna akili sana.
Umeshinda ndugu.
 
Soma hii Post yako labda ndio utaelewa Kwanini mie nilikuuliza ulikuwa umelewa? Au umealala? Jitahid uwe na kumbukumbu mkuu

Anyway, Kwa upande wangu me naona huu mjadala ulipofikia unatosha Mkuu, nisingependa kuendelea kuongelea tena, nakupa wewe ushindi so we endelea tu na wadau wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…