Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawezi kukuelewa huyo na lazima atakubishia tu!.. Huyo ni mashine ya mabishano
 
muna muchezaji anaitwa lokonga halafu munataka muwe title contender??! ebwana wee em kuweni siriyas na huu mchezo.
 
muna muchezaji anaitwa lokonga halafu munataka muwe title contender??! ebwana wee em kuweni siriyas na huu mchezo.
Hiki ni Kiwango cha chini kqbisa cha uwezo wa Kutumia akili kukusaidia Kuoambanua Mambo. Jina lina mahusiano gani na Ubingwa!!

Kwa taarifa yako Lukonga is far better kuliko Mactominey wako.

Hebu kuwa na heshima Kidogo.
 
muna muchezaji anaitwa lokonga halafu munataka muwe title contender??! ebwana wee em kuweni siriyas na huu mchezo.
Chelsea kacheza games 19.

Arsenal kacheza games 19.

Chelsea kashinda games 12.

Arsenal kashinda games 11.

Hakuna namna wewe ujione title contender kwa rekodi hiyo halafu Arsenal asijione title contender kinega wewe.
 
Mkuu,

Mimi ni mpenzi wa Midfielders mguu wa shingo mguu wa roho.

Xhaka amezidi kiasi lakini kwenye timu you need peopleo Xhaka's calibre
 
Not only a hater, He/she is a stupid HATER
 
Nyie mnadhani mnajadiliana na mtu mwenye uelewa wa mpira??

Nimemuachia Castr Mkunkwa wake apambane nao mwenyewe.

😀😀
 
Naamini kuanzia Leo Castr Hatopoteza tena muda wake na nguvu zake ovyo.

Mimi nilishamuacha huyo jamaa. Ngojeni City amfunge Arsenal atakuja na vi-screenshoot vyake uchwara hapa ili kuja kuwananga kwamba yeye alisema na yeye ndio anajua sana mpira.

Atakuja na "fucking truth" zake kibao 😁😁😁

Arteta atakuwa sio kocha na itabidi afukuzwe siku hiyohiyo. Castr akimwambia basi omba wewe ukocha inakuwa naongea.
 
Hiki ni Kiwango cha chini kqbisa cha uwezo wa Kutumia akili kukusaidia Kuoambanua Mambo. Jina lina mahusiano gani na Ubingwa!!

Kwa taarifa yako Lukonga is far better kuliko Mactominey wako.

Hebu kuwa na heshima Kidogo.
Hahahahahaahahahahah

Huyo kichaa wa Chugga amekuja kujifurahisha tu huku hahahaahhaahahah. Hapo usikute kashapiga chang'aa zake za kutosha
 
Nyie mnadhani mnajadiliana na mtu mwenye uelewa wa mpira??

Nimemuachia Castr Mkunkwa wake apambane nao mwenyewe.

😀😀
Ingekua siku ya kwanza ndiyo jana nakutana naye ningeassume kalewa ila kwakua kila siku yupo hivi basi nashika nilichowahi kusema kwamba jamaa anapenda timu ila kwenye mpira he isn't that good.

Yet anataka tumia limited knowledge kumuelewesha kila mtu wenzake kwa kujua hatujui vyote tunakubali kusikiliza wengine na kuona wapi tunashindwa kuelewana.

Habari ni tofauti mbele ya jamaa.
 
So it's okay kwa wewe kufuata sources za udaku ... Eti aliyetamka

By the way, mimi nanunua screenshort za Arsenal akiwa juu ya Man Utd kwenye table ya ligi

Nina ka 50K hapa
Bro nakupa ofa.

Kwa viporo viwili vilivyobaki tuassume vyote umeweza kushinda halafu screenshot table tuone kama utakua juu ya Arsenal.
 
MPIRA SIO BLAH-BLAH-BLAH KAMA ULIVYOANDIKA HAPA. MPIRA NI UWEKEZAJI. TUMIA PESA KUBWA CHUKUA WACHEZAJI WENYE KIWANGO.. ACHANA NA HAO WATOTO, ROWE,TIERNEY,SAKA, ETI NDIO MASTAA WENU. SERIOUSLY!!!!!
Sista mpaka saa hii Rowe ana magoli mengi kuliko Ronaldo.
 
Saint Maximin is a big deal, sijui kama Newcastle watamuuza ila huyu jamaa atakuwa mkubwa sana akienda timu kubwa, Newcastle are reliant on him to get up the pitch, Bring ASM to Arsenal as a Pepe replacement.
 
nilishasema huko nyuma kwamba hiki kifaa kinatufaa sana. Ila sasa kwa jinsi anavyocheza, mara nyingi he is prone to injuries.
 
iv tukifungwa na big six zote then ukabeba ubigwa hapo kuna tatizo ?
 
Saint Maximin is a big deal, sijui kama Newcastle watamuuza ila huyu jamaa atakuwa mkubwa sana akienda timu kubwa, Newcastle are reliant on him to get up the pitch, Bring ASM to Arsenal as a Pepe replacement.
aina ya mpira anaocheza sio kbs, anao anao sana sidhani kama anatufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…