makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,494
Unaposema wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto sio wakabaji wazuri mie nakukatalia, vipi wanaocheza beki 3, tuna beki 5 gabriel anakaba vizuri..Xhaka ni mzuri sana anapokuwepo kwenye timu ila tatizo ni kwamba hizo kadi anazozipata ni kwasababu wachezaji wengi wa miguu ya kushoto huwa sio wazuri kwenye ukabaji wa kunyang'anya mipira hapo ndo utaona shida kubwa ya xhaka vinginevyo ni hali ya gem kuna siku inakubali kuna siku inagoma.
Xhaka ndiye anaemfanya partey afanye vzr kwa kuwa anampunguzia kazi hivyo kazi kubwa inabaki yeye kusambaza mipira kwa viungo wa mbele na washambuliaji. Kwa hilo ebu anza kufuatilia gem kubwa na ngumu ambazo xhaka anakuwa ndani na zile anazokuwa nje uone. Kwangu mimi Xhaka ana ubora mkubwa mno ila basi tu haijawaka kwenye kiwango cha kuwa na mwendelezo
Yes I am PSG and Arsenal fan brosi psg wewe?
FACT but we need even a draw because we will play at home ,yes tumeshinda 4 games in a row ila kipimo dhidi ya City kuwin or draw tutajua Arsenal imefika kwenye class ipi mfano tukifungwa tutasemaje ?kuwa tuna improve or what?kujua kama timu ina improve ni kushinda or draw vs City and that's it otherwise tutakuwa tunadanganyana kuwa tuna improve kumbe bila bila kipimo sahihi ni kupata points vs top 3 teamsCity ni kipimo ndio ila ni kipimo kikubwa mno kwa kocha kama Arteta bro, kwaiyo matokeo yoyote yale sio kipimo sahihi kwake
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hali halisi ni kupata points vs top 3 teams otherwise tutakuwa tunadanganyana humu kumfunga Norwich Leeds Southampton ni kuwa tuna improve hell no Arsenal haijawahi kushindwa kuwin against those teams never bro itakuwa haina uhalisia eti unaplay vs Chelsea Liverpool Manchester City hata draw unashindwa kupata tena ukiwa home that's fuckin truth broUmeset bar too high.
Hauangalii hali halisi ukiwa excited.
Hahaha we jamaa Arsenal tunamaliza msimu tunapigwa 3 na Leicester we ulikua wapi? At one point Arsenal inacheza na Wolves hauna uhakika kama utashinda.Hali halisi ni kupata points vs top 3 teams otherwise tutakuwa tunadanganyana humu kumfunga Norwich Leeds Southampton ni kuwa tuna improve hell no Arsenal haijawahi kushindwa kuwin against those teams never bro itakuwa haina uhalisia eti unaplay vs Chelsea Liverpool Manchester City hata draw unashindwa kupata tena ukiwa home that's fuckin truth bro
You are talking about the past bro ,Arsenal vs City will be 2022 nachukia sana mambo ya past licha huwa yanabaki kwenye kumbukumbu for example timu ikishachukua ubingwa lets say mwaka 2021 kama City alivyobeba kisha 2022 akawa wa 17 out of 20 huoni kama ni upumbavu?Arsenal season hii hajapata hata point 1 vs top 3 teams kisha unaongea mambo ya past?yanasaidia nini?kuna timu inaitwa Preston ilienda unbeaten season nzima sawa na Arsenal nao wanaweza wakasimama mbele za watu wakajitamba now days?bro are u OK?Hahaha we jamaa Arsenal tunamaliza msimu tunapigwa 3 na Leicester we ulikua wapi? At one point Arsenal inacheza na Wolves hauna uhakika kama utashinda.
Sasa hivo tuna huo uhakika wewe unasema eti hatujaimprove? Burnley tuliyoifunga msimu huu msimu uliopita ilikuaje?
Unajisahau sana.
Tukiwa shitty hivyo hivyo tukamfunga Chelsea na Arteta, tukachukua FA, tukachukua CS mbele ya Liva, mbona haukusema Arteta ni bonge la kocha kachukua trophies mbele ya traditional top 6 wawili?
Hii timu bado wewe deal na PSG kwa sasa.
Nimesema wengi mkuu ila sijasema wote so kwa hao wachache ndo hao akina Tierney lkn pia unaposema ana mabaya mengi kuliko mazuri maana yake ni mbaya(mbovu) na hafaiUnaposema wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto sio wakabaji wazuri mie nakukatalia, vipi wanaocheza beki 3, tuna beki 5 gabriel anakaba vizuri..
Sijasema xhaka mbovu ina mazuri yake ni machache kuliko mabaya yake kaigharimu mno timu kuliko mazuri yake.
Hivi wapi hauelewi.You are talking about the past bro ,Arsenal vs City will be 2022 nachukia sana mambo ya past licha huwa yanabaki kwenye kumbukumbu for example timu ikishachukua ubingwa lets say mwaka 2021 kama City alivyobeba kisha 2022 akawa wa 17 out of 20 huoni kama ni upumbavu?Arsenal season hii hajapata hata point 1 vs top 3 teams kisha unaongea mambo ya past?yanasaidia nini?kuna timu inaitwa Preston ilienda unbeaten season nzima sawa na Arsenal nao wanaweza wakasimama mbele za watu wakajitamba now days?bro are u OK?
Bro Leicester na Wolves sio big teams kwa Arsenal and that's why Arsenal alibeba 6 points vs Leicester wakati huo huo Leicester akabeba EPL au umesahau?
City walimtwanga 5Hichi kichapo tulichowapa Norwich, hakikustahili wao..zile pimbi za nyumbu na timu zingine endeleni kuzurura humu..
Mechi saa 5 kikosi kinatangazwa sasa hivi?Kosi la leo.View attachment 2059760
Yes, hatufai katuzingua mara nyingi kuliko kutufurahisha, ndio maana nikamkumbuka LT angekuwepo kukichafua na TP.Nimesema wengi mkuu ila sijasema wote so kwa hao wachache ndo hao akina Tierney lkn pia unaposema ana mabaya mengi kuliko mazuri maana yake ni mbaya(mbovu) na hafai
Kinyonge sana.Kosi la leo.View attachment 2059760
Leo hamna mambo ya 'Tuna corona tusameheni' ni mnaenda kukalia moto tuKosi la leo.View attachment 2059760
Ilitarajiwa ije around 35M. Roma walileta 17M au 11M its like they knew Arsenal wanted to get rid of him so they expected a cheap bargain.Yes, hatufai katuzingua mara nyingi kuliko kutufurahisha, ndio maana nikamkumbuka LT angekuwepo kukichafua na TP.
Binafsi xhaka nashangaa why hakuuzwa kwenda roma na dili lilifika mezani.
Siku hizi spiderman linalamba mkeka na hakuna anayejifanya kummissKosi la leo.View attachment 2059760