Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,500
- 6,458
Ana umri gani?Ivan Toney anasema kuchukua EPL inabidi Arsenal imsajili yeye, ana potential ya kuwa WC Striker, ubora wake mkubwa ni kulink up play kitu Arsenal inachomiss kwa sasa.
Martinelli-Toney-Saka
Kwasasa Arsenal wanasajili wachezaji wenye umri mdogo, ambao wanaoweza kutrust our process


