Arsenal imeshakua na mchezaji anaitwa Park. MkoreaUme yumba mzee baba.
Huyo Park alikua mchezaji wa Man United.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Arsenal imeshakua na mchezaji anaitwa Park. MkoreaUme yumba mzee baba.
Huyo Park alikua mchezaji wa Man United.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nilisema mapema hapa, kina watu wanajua kutype tu na hawana la maana wanalijua, wana stiry za juu juu na wanaziweka hapa, ukiwapa fact kidogo tu povu zinawajaa na wanakimbia.Arsenal imeshakua na mchezaji anaitwa Park. Mkorea
Inabidi tuishi nao tu sasa tutafanyajeNilisema mapema hapa, kina watu wanajua kutype tu na hawana la maana wanalijua, wana stiry za juu juu na wanaziweka hapa, ukiwapa fact kidogo tu povu zinawajaa na wanakimbia.
Kusema Park alikuwa manyua wakati tulikuwa na flop letu na huna habari juu ya uwepo wake inasema kila kitu kuhusu uvivu wa aliyepost kumkana Park.
Wazee hebu tumieni muda kidogo kusoma mkikuta vitu huvielewi.
Unagugo kidogo tu majibu yanakuja na wewe unakuja kuchangia Uzi kifua mbele.
Haiwezekani tuendelee kuwatia bakora watanyooka tuInabidi tuishi nao tu sasa tutafanyaje
Dah acha tu ninepigwa kizembe sana kuamini watu kiboya siyo mkuuKha! Kumbe we ni boya kiasi hicho
Ngoja nikipiga machenji nikupe ajira mimi mwenyewe, si unajua zungu la mawe halifi lina fifiatu.
Kwa sasa nimefifia, ila stone litapigwa tu, one day, yes.
Na ikitiki lazima nikutafute mdogo wangu, si unajua kaka yako book noh.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Aina noma bro, tunasonga mbele maisha yanaendelea aise.Huo uzi niliwahi kuuona ila sijawahi kuusoma.
Mara ya kwanza naiona hii id ilikua inaulizia ghorofa maeneo ya Mbezi. Lakini alikua anatoa mahitaji ambayo yalionyesha hataki swala lifanikiwe ila anataka aonekane anaweza panga ghorofa.
Second time ikawa vifaa vya kamera. Na ndiyo pale akawa anakwepa kufanya biz.
Its true job seekers tunakua desperate as bili zinakuja, watoto wanakua, wazazi wanatarajia tuwalee so at times tunajikwaa tukikutana na watu kama Ugumu wangu
Pole bro.
Cc Kaveli alishawahi kumzungumzia Tania zake na kuna sehemu nliona ulimtilia mashaka ila nikapuuzia tu dah si ilikuwaje lakini huyu jamaa Ugumu wangu ni bonge la tapeli aise inabidi taarifa ziwafikie Mods sasa sijui namna ya kiwatag au ndugu Maxence Melo atusaidie namna ya kuwadhibiti ili wasiwaumize wengine.Huo uzi niliwahi kuuona ila sijawahi kuusoma.
Mara ya kwanza naiona hii id ilikua inaulizia ghorofa maeneo ya Mbezi. Lakini alikua anatoa mahitaji ambayo yalionyesha hataki swala lifanikiwe ila anataka aonekane anaweza panga ghorofa.
Second time ikawa vifaa vya kamera. Na ndiyo pale akawa anakwepa kufanya biz.
Its true job seekers tunakua desperate as bili zinakuja, watoto wanakua, wazazi wanatarajia tuwalee so at times tunajikwaa tukikutana na watu kama Ugumu wangu
Pole bro.
Anzisha uzi.Cc Kaveli alishawahi kumzungumzia Tania zake na kuna sehemu nliona ulimtilia mashaka ila nikapuuzia tu dah si ilikuwaje lakini huyu jamaa Ugumu wangu ni bonge la tapeli aise inabidi taarifa ziwafikie Mods sasa sijui namna ya kiwatag au ndugu Maxence Melo atusaidie namna ya kuwadhibiti ili wasiwaumize wengine.
OllaChuga Oc: nakubali man mimi nataka nijue tu hiyo maana ya Oc kwenye jina lakoHii mbanga imeanzishwa 2006 ..imagine huyu mwanzisha Uzi alikuwa may be na miaka 33 ..mpaka si atakuwa mzee wa siku!!?.
Sema namlaumu sana kwa kuanzisha huu utopolo maana toka 2006 mpka leo hii arse8 hata top four ni mtihani.
Ngoja niwaulize swali nyie mbuzi ..hivi uefa Mara ya mwisho mulishiriki lini?

Ni Olla na Chuga ..yani Ololoo na Chuga ..vungsi hii ni chuga chali angu ..Ololoo ndo mtaa nnaotokea ..Chuga ndo state etu asee..OllaChuga Oc: nakubali man mimi nataka nijue tu hiyo maana ya Oc kwenye jina lako![]()
Oyah, boy, huyo jamaa yako analia lia sana, yani me niingie Google kuangalia kama Arsenal ilishakua na mchezaji anaeitwa Park?Inabidi tuishi nao tu sasa tutafanyaje

Nilisema mapema hapa, kina watu wanajua kutype tu na hawana la maana wanalijua, wana stiry za juu juu na wanaziweka hapa, ukiwapa fact kidogo tu povu zinawajaa na wanakimbia.
Kusema Park alikuwa manyua wakati tulikuwa na flop letu na huna habari juu ya uwepo wake inasema kila kitu kuhusu uvivu wa aliyepost kumkana Park.
Wazee hebu tumieni muda kidogo kusoma mkikuta vitu huvielewi.
Unagugo kidogo tu majibu yanakuja na wewe unakuja kuchangia Uzi kifua mbele.

Usipanic sasa arifOyah, boy, huyo jamaa yako analia lia sana, yani me niingie Google kuangalia kama Arsenal ilishakua na mchezaji anaeitwa Park?
Jamaa pumbavu sana huyo
Nina mangapi ya kuyafanya, niyaache nimfuatilie Park alie cheza Arsenal?
Hivi angenielekeza tu kuwa ni kweli kulikua na taka taka inayoitwa Park pale Arsenal, angepoteza nini mshamba huyo?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu Kitoabu tulikuwa na flop wetu pale arsenal alisajiliwa 2011 ila mkataba wake mpk unaisha alikuwa kwa mkopo celta vigo na WatfordUme yumba mzee baba.
Huyo Park alikua mchezaji wa Man United.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nime kupata mzee baba.Mkuu Kitoabu tulikuwa na flop wetu pale arsenal alisajiliwa 2011 ila mkataba wake mpk unaisha alikuwa kwa mkopo celta vigo na Watford
Ila kabla ya kuja kwetu alikuwa ST mzuri tu timu ya Seoul-South Korea na Monaco-France ila baada ya kuja Arsenal akawa big flop
Alikuwa anaitwa Park-Chu-Young
Mhhhh.... Sijapaniki mkuu!Usipanic sasa arif