Tuombee Spurs asipate point 3 today akizipata atakuwa ana games 3 mkononi na for sure because Conte ni coach bora lolote linaweza kuhappenHuyo ndo ana viporo vingi pamoja na Man U, ni mwendo wa kuwaombea njaa tu ila tu timu ikiwa inaendelea kuhakikisha ushindi kwenye kila mechi tunayopaswa kushinda
Adui muombee njaa tuTuombee Spurs asipate point 3 today akizipata atakuwa ana games 3 mkononi na for sure because Conte ni coach bora lolote linaweza kuhappen
Nipo hapa nawaombea drooTuombee Spurs asipate point 3 today akizipata atakuwa ana games 3 mkononi na for sure because Conte ni coach bora lolote linaweza kuhappen
Subiri kwanza Mkuu, bado hatujui Arteta atafika au kumaliza wapi na watoto wake maana hakuna consistency hadi Sasa, Arsene alikuwa anamaliza top four na watoto wake kwahiyo sidhani kama ni sahihi kuanza kumuona kama Arteta kafanikiwa na na Wenger alifeliIf I'm not mistaken, this is the first time in a long time Arsenal have managed to assemble a young and effective team. Arsene Wenger tried, but it flopped terribly..
Nimecheka sana aiseeRaha ya watoto wengi wa kibrazil mpira kwao ni zaidi ya kufunga magoli tu, kabla ya kufunga goli anahakikisha anakutesa kwanza. Gabriel Martinelli might be the next phenomenon 🔥.
Japokuwa anatumia pesa nyingi, lkn it's really worth it. Na huwa anachukua wachezaji sahihi mara nyingi.Kipara anaionea sana EPL afukuzwe tu
Huyu ametumwa na God duniani huwa kuna watu mnakuwa nao mnafanya kitu fulani but wao wanakuwa zaidi ya nyie wote for example Mziki(Michael jackson)box(Muhammad Ali)Basketball (Michael Jordan)mpira(Messi Ronaldo Pele Maradona)kwenye coaching Pepe is on another level sio wa kawaidaJapokuwa anatumia pesa nyingi, lkn it's really worth it. Na huwa anachukua wachezaji sahihi mara nyingi.
Kwa consistency ambayo anayo, sina shaka EPL ni yake msimu huu.
Kipara ndo mtu pekee anayeweza kunyanyasa timu yoyote sa ivi(including Bayern)
Sizungumzii kufeli kwa Wenger ktk coaching carrier yake ila kuassemble young talents na kuwatumia kujenga timu nzuriSubiri kwanza Mkuu, bado hatujui Arteta atafika au kumaliza wapi na watoto wake maana hakuna consistency hadi Sasa, Arsene alikuwa anamaliza top four na watoto wake kwahiyo sidhani kama ni sahihi kuanza kumuona kama Arteta kafanikiwa na na Wenger alifeli
Sawa MkuuSizungumzii kufeli kwa Wenger ktk coaching carrier yake ila kuassemble young talents na kuwatumia kujenga timu nzuri
Alikuepo nikakupiga 3, alikuepo nikachukua FA. Mbili ulizoshinda msimu huu Kante alikuepo?wew bila kante ntakupiga 5 ila akiwepo unakula 7
Sent using motorola 78
Ngumu, unless umdrop Laca.kama kocha unafanyaje kuwafix Ø, ESR, Saka, Martinelli pamoja kwenye starting x1?
Hiyo game na Sunderland ina ishu vizuri sana kwakua kabla ya draw Boss wa Sunderland alisema hapa mwanzo natamani nipate timu kama Arsenal au spurs halafu huko mbele ndiyo nipate giants.Game ya Sunderland haina ishu kwa sasa ni bora EPL Arsenal afight hard aqualify champions league it will be better kwa Arsenal kirudi huko
Wataingia sokoni kwa hasira kupambana kutoshuka. Arsenal ikichanga karata fresh hata baadhi ya deadwoods wataweza pata soko hapo, tayari Martial yupo kwenye rada ya NewcastleNewcastle anachofanyiwa ni roho mbaya, kila game anapondwa tu ili usajili ukifunguliwa kashashuka daraja.
Unaleta overhyped English player kwenye kikosi ili iwe nini? At the same time una Emile anayeanzia nje, una Martinelli ambaye apparently game time ndiyo dawa yakeMleteni Mason Greenwood aje ajifunze Football under Mikel Arteta, huko pengine anapoteza muda
Hamna anayenunuliwa hapo. Zote chapati hizoKwanini Greenwood?? Na siyo Lingard au Martial????
Na mimi namaanisha kwakua sisi tulitoa mtu. Its fair na sisi tukitolewa ni sehemu ya huu mchezo wa mpira, tukijipigia hesabu kwa sisi ambao hatuna viporo nafikiri tunaongelea kupambania namba 3 sasa.Sijasema hakukuta timu ambayo Iko namba 4.Nimesema Arsenal ingekuwa inashika nafasi ya 4 timu zote zikiwa na idadi Sawa na mechi za kucheza,Ingekaaa poa saana,
Siyo Sasa,unakuwa namba 4 unatamba huku aliye nyuma Yako hujui atafanya Nini Kwa mechi ambazo anazo kama kiporo,kiasi Kwamba akifanya vizuri mechi zakee hizoo,hiyo namba 4,haitakuwa Yako Tena.
na zikamkuta#COYG
Leo Leads amepigwa chache kamba 4