Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
His first penalty miss in an arsenal jersey, I haven't watched an arsenal performance of this magnitude for a long time.
But it was his first penalty miss, this stuff happens in soccer!We have missed 3 consecutive penalties awarded to us including yesterday missed pen
Soon naaply naiweka timu kwenye Ramani heheheheheheheNdiyo nasema chukua kazi hiyo uokoe Jahazi
Karibu jukwaani tenaHii ndio ARSENAL sasa kudadadeki,
HeheheheheheheheheSay whatever you want, Mikel Arteta is a genius young coach
These people dont watch football, they just talk.Ndiyo nasema chukua kazi hiyo uokoe Jahazi
Mimi nipo nyuma yakoSoon naaply naiweka timu kwenye Ramani hehehehehehehe
Mpira gani ambao hatuangalii?every weekend and even weekdays we watch Arsenal matches bro kuwin jana tu after kulose two consecutive matches leo unasema we don't watch football seriously?hehehehehehehehThese people dont watch football, they just talk.
DuuhhMsimu wake wa pili Kloop was very close na epl ila akanyanyua CL, Msimu wa Tatu akanyanyua EPL. Do you see Arteta anyway close na chochote kati ya hivyo nimevitaja hapo juu!?
Fact tupu Three years now tangia apewe nafasi watu wanashangilia top 4 jana for the first time utafikiri tumebeba EPL trophy [emoji471]Msimu wake wa pili Kloop was very close na epl ila akanyanyua CL, Msimu wa Tatu akanyanyua EPL. Do you see Arteta anyway close na chochote kati ya hivyo nimevitaja hapo juu!?
Karibu sheikh wetuHii ndio ARSENAL sasa kudadadeki,
Haitasaidia!Maana maboss wa Arsenal bahili saana kununua wachezaji ambao kocha anawahitaji.Why a new manager would make us better immediately?
Wachezaji gani kocha anawahitaji?Haitasaidia!Maana maboss wa Arsenal bahili saana kununua wachezaji ambao kocha anawahitaji.
Nyie mkomae na Arteta wenu usikute msimu huu mkachukua tena FA cup maana ndo Kombe lenu la kujidai.