Matumizi ya pesa baada ya timu kufa yote haina msaada tunaoutakaHizi ni assumptions tu na maneno yasiyo na ushahidi wowote.
Nadhani last summer Arsenal/ Stan ndio timu iliyotumia peas nyingi zaidi kuliko timu yoyote.
Huu ndio ushahidi tofauti na hapo ni assumptions tu.
Klopp alipoajiriwa na Liverpool alikaa muda sana kabla hajashinda taji lolote.
I am here bro but naona Auba kaanza kuchomoa betri kuna wengine watafuatia soon lazima Captain kuna watu wanamsapoti it can't be like this player anaamua kutokuja kwenye training without any reason no way I smell danger kwenye squadComputerarsenal njoo huku mambo mazuri leo
I am here bro but naona Auba kaanza kuchomoa betri kuna wengine watafuatia soon
HahahaahahahaMatumizi ya pesa baada ya timu kufa yote haina msaada tunaoutaka
Fact I don't know why Auba misimu hii 2 ya mwisho kama hivi may be age,ujinga au majivuno sijui na Arsenal imekuwa ina lack magoli sababu tunamtegemea yeyeNo regret hata akiondoka leo hana msaada wowote, hatuta-mmiss
Uwa namkubali sana huyu dogo... Sijui kwanini uwa apewi nafas3-0Gabby
Nafasi anapewa kila siku.Uwa namkubali sana huyu dogo... Sijui kwanini uwa apewi nafas
Nilijua Gab martinelli... Yule dogo wa kibrasilNafasi anapewa kila siku.
aliyescore ni Gabriel Magalhaes beki wa kati.
Hata huyu Magalhaes ni dogo wa kibrazil π πNilijua Gab martinelli... Yule dogo wa kibrasil
Penati imewabebaChelsea analazimishwa suluhu
Halafu wote ni magabriel... Sikujua ilo kabla Mkuu!Hata huyu Magalhaes ni dogo wa kibrazil π π
Assisst ametoa huyo anayenyimwa nafasi.
Mkuu unanichekesha sana sasa squad hii inafuata nini humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kosi la leo.
Kocha: Profesa Sir Ralf Rangnick.View attachment 2040785
Sent using Jamii Forums mobile app