Arsenal (The Gunners) | Special Thread

That is only one unique case but general speaking our team is totally insipid
One unique case?

Nafikiri throughout history hakuna mchezaji aliyetakiwa na spurs halafu Arsenal ikapeleka ofa kisha huyo mchezaji akaopt spurs.

At one point ilifikia hatua Arsenal ikawa inachukua wachezaji wa spurs.
 
Sasa katika mnajili huo wa issue ya miaka 10 na zaidi kwa nini mnamuangushia jumba bovu arteta ambae actually has tried and shown that various arsenal problems are fixable??
 
Sasa katika mnajili huo wa issue ya miaka 10 na zaidi kwa nini mnamuangushia jumba bovu arteta ambae actually has tried and shown that various arsenal problems are fixable??
Jumba bovu kwa sababu amechagua kuwa kichaka cha Stan.

Stan hawezi kuketa kocha wa maana kwa sababu watapushana kwenye malengo, Arteta ameamua kuitumia Arsenal kujinufaisha kwa kujaribubinu zake. Wakati tajiri anajificha nya yake kuendelea kuitafuna Arsenal.

ukileta kocha anayetaka mataji watashindana kwenye malengo hasa timing ya uwekezaji kiwanjani. Lini utoe pesa za kununua mchezaji na kwa nini muda husika. Ila kwa Arteta kwa sababu anajifunza haya ya misimu ya luwekeza na kubaki na nani bado hajui na itachukua muda sna kuyajua. Na akija lujua hapatakuwa mahala sahihi kwake kubakia, atatafita mahala akajipambanue na kufanya yanayoleta mataji ambayo Arsenal sio kipaumbele,.
 
Hizi ni assumptions tu na maneno yasiyo na ushahidi wowote.

Nadhani last summer Arsenal/ Stan ndio timu iliyotumia peas nyingi zaidi kuliko timu yoyote.

Huu ndio ushahidi tofauti na hapo ni assumptions tu.

Klopp alipoajiriwa na Liverpool alikaa muda sana kabla hajashinda taji lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…