Kashifa ganiBado namtetea kichogo, monaco aliikuta kwenye hali mbaya kinoma, timu imeuuza wachezaji wa kikosi cha kwanza kama 7 hivi unategemea nini, jardim mwenyewe ilimshinda, ye akawa anaisuka upya kabla ile kashfa kumuondoa
Kama mashabiki wa mchangani utopoloClub imejaa utoto utoto mwingi halafu maskini ya Mungu hawana hata mpango wa kubadilika.
Sema mashabiki wao wana roho ya paka hawachoki kuvumilia upumbavu.
Assnal wana matatizo 99 hilo ni la 100Tatizo kubwa la Arsenal ni forward isiokuwa na ujasiri wa kufunga magoli,na hili ni tatizo tokea alipoondoka Wenger,wanatafuta wachezaji wazuri wenye skills za kutafuta mipira lakini wafungaji hakuna,ukipata mtu kama Ronaldo and the likes kwenye timu kama Arsenal ,nina uhakika hawatakuwa na mpinzani...
Nakupongeza sana umechukua uamuzi bora kabisa .NIMEKUWA NIKISEMA SANA KUHUSU ARSENAL LAKINI NAONA MASHABIKI MLIOANZA KUISHABIKIA ARSENAL MWAKA 2003 KUJA MPAKA 2021 HUWA HAMUELEWI.
NARUDIA TENA LEO.......
BILA BWANA STAN KROÈNKE KUIACHIA ARSENAL IMILIKIWE NA WATU WALIO SERIOUS KWENYE MPIRA TUTAENDELEA KILA SIKU KULAUMU WACHEZAJI KAMA SIYO KOCHA.
TATIZO LA ARSENAL NDUGU ZANGU SIYO KOCHA WALA WACHEZAJI,TATIZO LA ARSENAL NI MMILIKI AMBAYE HANA MAPENZI NA MPIRA.
KUNA MWENDAWAZIMU MMOJA NILIWAHI KUMWAMBIA HILI SUALA HAPA TOKA MWAKA JUZI ALINITUKANA SANA NA KUNISHAMBULIA SANA HUKU AKINILINGISHIA KOCHA MZURI ARTETA NA WACHEZAJI WAZURI WALIOKUWA WAMESAJILI LAKINI NILIMWAMBIA KWASABABU UMEANZA KUISHABIKIA ARSENAL JUZI JUZI TU HUWEZI KUIFAHAMU IN & OUT!.
PIGENI KELELE MUWEZAVYO,LIENI MUWEZAVYO,TUKANENI MUWEZAVYO LAKINI BILA BWANA STAN KROÈNKE KUIACHIA ARSENAL HAITACHUKUA UBINGWA MIAKA 100 IJAYO,NA KWASABABU HUU UZI UPO MUDA WOTE NADHANI NITARUDI TENA BAADA YA MIAKA 3 KUWAULIZA!!.
NIMEANZA KUISHABIKIA ARSENAL MWAKA 1999,HIVYO NAIFAHAMU KULIKO MNAVYODHANI,NINA SABABU ZISIZO PUNGUA 10 KWANINI NAMLAUMU BWANA STAN KROÈNKE NA SIYO KOCHA WALA WACHEZAJI!!.
NIWATAKIE MAUMIVU MEMA NDUGU ZANGU SHABIKI LIA LIA WA ARSENAL,KWA UPANDE WANGU MIMI NIMEACHA KUANGALIA MPIRA KABISA KWASABABU YA ARSENAL,KWASABABU SASA HIVI DUNIA NI TANDAWAZI,HUWA NAONA MATOKEO TU KWENYE SIMU YA KIGANJANI!!,LAKINI KWENDA MABANDA UMIZA KUANGALIA MPIRA NADHANI HUU MWAKA UKIISHA NITAKUWA NAFUNGA MIAKA 3 PASIPO KUHUDHURIA HUKO!!.
Unaupiga mwingi sana mkuu, hawa wabwia ugoro wasikuzingue.Wewe una uelewa gani sasa wa mpira?team linajichezea ili mradi liende because ya coach then unasema watu hawana uelewa?timu ina goal difference negative then unasema watu hawana uelewa?last week Arsenal alikuwa ana chance ya kuingia top 4 leo Tottenham and Manchester United wametupita unasema watu hawana uelewa?timu mechi ya 2 mfululizo inafungwa after kuwa wa kwanza kuscore then unasema watu hawana uelewa?coach unamuingiza Nketiah na kumtoa Tierney is he mental fit kweli?au na wewe una upungufu katika brain yako?
Usipanic bro haya mambo hayataki hasiraAfu ngoja nikupige block kwanza naona upo obsessed sn na mimi.
Njoo bana ucheki mabingwa wa kihistoria wa EplNIMEKUWA NIKISEMA SANA KUHUSU ARSENAL LAKINI NAONA MASHABIKI MLIOANZA KUISHABIKIA ARSENAL MWAKA 2003 KUJA MPAKA 2021 HUWA HAMUELEWI.
NARUDIA TENA LEO.......
BILA BWANA STAN KROÈNKE KUIACHIA ARSENAL IMILIKIWE NA WATU WALIO SERIOUS KWENYE MPIRA TUTAENDELEA KILA SIKU KULAUMU WACHEZAJI KAMA SIYO KOCHA.
TATIZO LA ARSENAL NDUGU ZANGU SIYO KOCHA WALA WACHEZAJI,TATIZO LA ARSENAL NI MMILIKI AMBAYE HANA MAPENZI NA MPIRA.
KUNA MWENDAWAZIMU MMOJA NILIWAHI KUMWAMBIA HILI SUALA HAPA TOKA MWAKA JUZI ALINITUKANA SANA NA KUNISHAMBULIA SANA HUKU AKINILINGISHIA KOCHA MZURI ARTETA NA WACHEZAJI WAZURI WALIOKUWA WAMESAJILI LAKINI NILIMWAMBIA KWASABABU UMEANZA KUISHABIKIA ARSENAL JUZI JUZI TU HUWEZI KUIFAHAMU IN & OUT!.
PIGENI KELELE MUWEZAVYO,LIENI MUWEZAVYO,TUKANENI MUWEZAVYO LAKINI BILA BWANA STAN KROÈNKE KUIACHIA ARSENAL HAITACHUKUA UBINGWA MIAKA 100 IJAYO,NA KWASABABU HUU UZI UPO MUDA WOTE NADHANI NITARUDI TENA BAADA YA MIAKA 3 KUWAULIZA!!.
NIMEANZA KUISHABIKIA ARSENAL MWAKA 1999,HIVYO NAIFAHAMU KULIKO MNAVYODHANI,NINA SABABU ZISIZO PUNGUA 10 KWANINI NAMLAUMU BWANA STAN KROÈNKE NA SIYO KOCHA WALA WACHEZAJI!!.
NIWATAKIE MAUMIVU MEMA NDUGU ZANGU SHABIKI LIA LIA WA ARSENAL,KWA UPANDE WANGU MIMI NIMEACHA KUANGALIA MPIRA KABISA KWASABABU YA ARSENAL,KWASABABU SASA HIVI DUNIA NI TANDAWAZI,HUWA NAONA MATOKEO TU KWENYE SIMU YA KIGANJANI!!,LAKINI KWENDA MABANDA UMIZA KUANGALIA MPIRA NADHANI HUU MWAKA UKIISHA NITAKUWA NAFUNGA MIAKA 3 PASIPO KUHUDHURIA HUKO!!.
Arsenal is fraud,kwanini mkuu..?Watu wanapigwa pesa kwa kushabikia kitu ambacho hakipo, Arsenal is confirmed a fraud, mwaka wa 30 huu nyimbo zile zile, futa huu uzi tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaongopewa ni timu kubwa wakati co kweli, huoni kwamba hii ni fraud?Arsenal is fraud,kwanini mkuu..?