Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

It is a must win today no draw or lose coz Tottenham and Manchester United wapo juu hapo so win today and Saturday 11 angalau Arsenal atakuwa pazuri
 
Monaco ilimshindaa,Ya Arsenal ndo anayaona
Bado namtetea kichogo, monaco aliikuta kwenye hali mbaya kinoma, timu imeuuza wachezaji wa kikosi cha kwanza kama 7 hivi unategemea nini, jardim mwenyewe ilimshinda, ye akawa anaisuka upya kabla ile kashfa kumuondoa
 
Hii timu tunawachezaji wakawaida sana hawa wote akina odegaard sijui partey sijui xhaka,nawatoto hawa akina martineli sijui Saka hutuwezi kuja kushindana na timu zilizo strong .tubaki tu kuipenda timu kwakua tumetoka nayo mbali huku tukiombea kucheza champions league kujiongezea thamani na kuvizia hivi vikombe vingine kama FA na Carabao.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Mfano timu kama Newcastle kwa sasa haiwezi mtaka mtu kama Haaland ingawa ina pesa so itachukua mtu kama Lacazette au Martial au Bale.

The reason ni kwamba haipo Europe comps so haiwezi attract players hence inabidi iwe na youngsters ambao watakua na project ya timu. Tumeshuhudia kwa chelsea na city.

Arsenal tulichukua mababu wa chelsea ila hatukua na youngsters wa kukua nao. True ni wadogo. Na kazi tunayo.
 
Wana Gunners mtanipa results za Full Time kwa mpira huu let me sleep kesho nsije kuchelewa job nkapewa warning mpira unaleta usingizi huu hauna amsha amsha at all
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Back
Top Bottom