Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi SiO fan wa arteta, amerostisha wengi wanataka kuondoka January, eg leno, Mari cedric, laca, Pepe. Na hii game ilimfaa sana Pepe at half time. Yameishakuwa Ngoja tueendelee kuuguza maumivu, after all this december, we all know how we fare during this period.
 
Akili itakurudia eti sio fan wa Arteta when I talk about Arteta unasemaga unapuuzia?akili itakukaa sawa up to 31st December
 
aya ma wingback marefu kaz yao inakuaga ni kuchoma2 mana pace yao n yakusuasua ila maboko kama yote kama unabisha angalia ili li tavares na li bissaka la unyumbuni


Sent using motorola 78
 
We will continue kukumbushana
 
We will continue kukumbushana Manchester United mbovu inamfunga Arsenal aliyepo imara?hehehehe Goodnyt Guys
 
Manchester united iko vizuri kuliko timu yoyote pale England ukitoa Man City, ni upuuzi wa kocha tu ndio umetufikisha hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani Arsenal tuna uwezo wa kucheza. Kwanini Arteta alete watu nyuma kila wakati tukiongoza goli 1?

Yani tukipata goli tu, Arteta anataka tujihami.

Eti baada ya kusawazisha ndio timu inaamka tena!
Mnauwezo wa kucheza kwa wachezaji gani mlio nao? Labda mcheze na Ipswich Town lkn co kosi kama hili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wajinga wasikusumbue tumewekea ulinzi, Arsenal itashika nafasi ya 11 msimu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…